Vanessa Mdee feat. Maua Sama & Tommy Flava - Bounce текст песни

Текст песни Bounce - Vanessa Mdee , Maua Sama



Beautiful boy is that for sure
But baby girl is playing him like a toy
He's been in my bed
Sunday to Monday, Monday to Sunday
Oyoyo, husinifanye mi ni poyoyo
Lengo lako girl
Niachane naye nenda zako hukoo
I want you to know, usije ukaniliza girl
Hisia zako zitakukandamiza no
Girl you should know mi sio type yako
Hisia zako peleka kwako
Bounce alone, bounce alone
Only me can turn him on
Bounce alone, bounce alone
Tukiwaga wawili (na ye)
Nampa burudani (yeye)
Hakuna kuniacha mi (kamwe)
Yeyeyeyeye
Tukiwaga wawili (na ye)
Nampa burudani (yeye)
Hawezi kuniacha mi (kamwe)
Yeyeyeyeye
Vee Money baby, tell me my boo
Maumivu sawa kwangu katu
Njoo nikukabidhi moyo wangu
Nisije weka sinde kwa babu
Maua Sama umenidaka wavu
Sifurukuti sifui dafu
Ongeza vitamini nitoke sharp
Ili wajue the way I love, the way I
Mmm mami iyooo
I want you to know usije ukaniliza girl
Hisia zako zitakukandamiza no
Girl you should know mi sio type yako
Ushauri wako peleka kwako
Bounce alone, bounce alone
Only me can turn him on
Bounce alone, bounce alone
(Don't call me ever again)
Tukiwaga wawili (na ye)
Nampa burudani (yeye)
Hakuna kuniacha mi (kamwe)
Yeyeyeyeye
Tukiwaga wawili (na ye)
Nampa burudani (yeye)
Hawezi kuniacha mi (kamwe)
Yeyeyeyeye
Tell me boy, unitumie tumie kwako niwe kifaa
Tell him don't bother, hao vilaza
Wenyewe kusudi nikuache we
You gonna let him know
When you do me like this
Napatwa na goosebumps
Oh yeah, tamu lako penzi
Kwako wanapita njia hey
When you do me like this
Napata na goosebumps
Oh yeah, tamu lake penzi
Kwako wanapita njia yeyeyea
Bounce alone, bounce alone
Only me can turn him on
Bounce alone, bounce alone
Tukiwaga wawili (na ye)
Nampa burudani (yeye)
Hakuna kuniacha mi (kamwe)
Yeyeyeyeye
Tukiwaga wawili (na ye)
Nampa burudani (yeye)
Hawezi kuniacha mi (kamwe)
Yeyeyeyeye oooh
M-A-U-A Sama
Mmm Vee Money on the track




Vanessa Mdee feat. Maua Sama & Tommy Flava - Bounce
Альбом Bounce
дата релиза
24-11-2017

1 Bounce



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.