Wachira Gatama feat. Mordecai Kimeu & Kenneth Muya - Love Phobic - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни Wachira Gatama feat. Mordecai Kimeu & Kenneth Muya - Love Phobic




Love Phobic
Love Phobic
Walisema mapenzi ni kikohozi
She said love is a cough
Hawakukosea mapenzi hayafichiki
She is not wrong, love is not easy
Nami baby niko hapa nasaka riziki
And I'm here, baby, looking for a job
Natafuta natafuta sukumawiki
I'm looking, looking for collard greens
Im love phobic
I'm love phobic
Im love phobic eeeahh eaahh
I'm love phobic eeeahh eaahh
Naogopa (naogopa) naogopa mapenzi
I'm afraid (afraid) I'm afraid of love
Im love phobic
I'm love phobic
Im love phobic eeeahh eaahh
I'm love phobic eeeahh eaahh
Naogopa (naogopa) naogopa mapenzi
I'm afraid (afraid) I'm afraid of love
Malkia alisema ananipenda
The queen said she loves me
Na mimi nikasema nampenda pia
And I said I love her too
Sana sana nilikuwa nafurahia akinikaribia alafu ananiita my dear alikua anafanya roho yangu inakimbia.
I used to enjoy it when she came close to me. And she would call me darling, it made my soul run away.
Juu alikua na sauti ile tamu tena clear
Because she had that sweet, clear voice





Авторы: Kennethe Muya Mukhwana, Mordecai Kimeu, Wachira Gatama

Wachira Gatama feat. Mordecai Kimeu & Kenneth Muya - Love Phobic
Альбом
Love Phobic
дата релиза
24-04-2015



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.