elsie - Karibu Nawe - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни elsie - Karibu Nawe




Karibu Nawe
Welcome To You
Karibu nawe Elsie
Welcome to you Elsie
Unavyo nioshana wema
You are so kind
I wish ningejua mapema
I wish I knew you earlier
Nilizingirwa na giza
I was surrounded by darkness
Mbali nawe hakuna raha
Without you, there is no joy
Nikiwa nawe na starehe
With you I'm so happy
Nani kama wewe
Who is like you
Sasa nimekupata
Now that I've found you
Siwezi niekuwacha
I can't let you go
Milele nitakufuata
I will follow you forever
Karibu karibu nawe yesu
Welcome welcome to you Jesus
That's where i wonna be 4
That's where I want to be 4
Unavyo nilea
You raise me
Kama ndama wako
Like your little lamb
Unavyonitunza kama mtoto wako
You take care of me like your child
Nikupe nini nini e baba
What can I give you father
Kama shukrani ya kuniokoa kutoka kwa shetani
As a thank you gift for saving me from the devil
Sasa nimekupata
Now that I've found you
Siwezi niekuwacha
I can't let you go
Milele nitakufuata
I will follow you forever
Karibu karibu nawe yesu
Welcome welcome to you Jesus
That's where i wonna be 4
That's where I want to be 4
Sitaki niwe kama mwana mpotevu sitaki niwe kama petro aliyemkana yesu
I don't want to be like the prodigal son, I don't want to be like Peter who denied Jesus
Sitaki niwe niwe mbali nawe
I don't want to be far away from you
Nataka niwe karibu nawe
I want to be close to you
Karibu karibu nawe yesu
Welcome welcome to you Jesus
That's where i wonna be 4
That's where I want to be 4
Karibu karibu nawe yesu
Welcome welcome to you Jesus





Авторы: Elsie

elsie - Karibu Nawe
Альбом
Karibu Nawe
дата релиза
11-01-2015


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.