Izzo Bizness - Walala Hoi текст песни

Текст песни Walala Hoi - Izzo Bizness



Walala hoi... Walala hoi... Walala hoi
Walala hoi sisi ndio Walala hoi (
Walala hoi) x 4
Moja haikai mbili haikai mbaya wako ni jirani babu (
Walala hoi) x 4
Tunaunga unga maisha yetu ni safari bado tunataabika (
Walala hoi) / tunakomaa maisha ni safari imani ipo bado sisi mbali tutafika (
Walala hoi) / tumazaliwa kwenye njaa njaa imetulea sisi home mali hatujakuta (
Walala hoi) / mama Yanga baba Simba upinzani babu ndani yani kila dakika (
Walala hoi) / kupinda ni sheria usishangae huku kwetu mbona imeshazoeleka (
Walala hoi) / hatujasoma dili chafu leta pesa babu hata iwe dili ya kuteka (
Walala hoi) / tunaonekana hatuna maana tunatengwa kona zote twa dharaulika / majina yote sisi Vidampa wapumbavu wezi majambazi yote wametupachika / Rhumba kali wewe utadata/ soma pata ondoa shaka/ faster umenipata chafu tatu maisha karata/ maisha bondi kukosa na kupata / jela nyummbani hakuna kuogopa sheli tunamoka/ sisi machizi kama kaboka/ uchungu wa meno na kucha kamuulize Ulimboka /
Roba za mbao mtaani ni nani kaleta? (
Walala hoi) / kulogana logana tu bila sababu mtaani? (
Walala hoi) / majungu fitina unafiki umbea na chuki? (
Walala hoi) / kazi ngumu tunapigika lakini ujira ni mdogo babu (
Walala hoi)/ toa kazi tumalize hatulazi kitu hapa sisi mwendo ni wa CHAP-CHAP/ kwenye Bar hatukai zetu vilabuni yes sisi mwendo ni MATAPU-TAPU / bila sababu tunakudiss tukijua umetuzidi sisi wala hatukukwepeshi / chuki roho mbaya jadi yetu Mungu hapendi lakini sisi tumerithi / kila time tupo simple watu wa Mingle mawazo yetu kwenye Bingo dr.
Kingo ngoma zetu ni Segere na Msondo / sisi ndio wachezeshaji tuite Redondo / Rest in Peace James mtoto wa Dandu / hii game bado kwako japo upo kando / big brother the Chase muulize Nando / kama Zay-B vile watu wapo gado /
Walala hoi... Walala hoi... Walala hoi... Walala hoi x 3... hoi hoi hoi Walala ... hoi hoi hoi Walala... hoi hoi hoi Walala.




Izzo Bizness - Haina Kufeli
Альбом Haina Kufeli
дата релиза
06-10-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.