Marioo - Kongoro текст песни

Текст песни Kongoro - Marioo



Mi ningefanya na nani
Kama usingekuwaga wewe
Mapenzi ningeyajuliaga wapi
Japo na uzuri wa angani
Nami kifaranga we mwewe
Na wala hujanifanya kitu mbaya
Nishapitiaga magharibi
Nikatokeaga mashariki
Nikachomwa jua na baridi
Kusafa sifa kama zako
Kwako nimetulia maji kwenye mtungi
Utake nini nikapambane nikupatie
Mi kwako nimefika Kigoma mwisho wa reli
Ukiniacha na wewe nitapururuka nitabakia
Kongoro! Na si nitakonda nitabaki mifupa
Kongoro! Mwenzako mawazo yatanimaliza
Kongoro! Ukiniacha mwenzako nitaliwa na upweke
Kongoro! Aaa yii aaah aah
Kwanza nani atatokea
Awezekano ndengea
Chakula cha usiku nisosomo
Nisosomolee
Nani atajua kuniponza ka siko sawa
Turumbwe na usahifu aah
Nikiambiwagwa mabaya ya kuhusu wewe
Masikio inaziba yenyewe
Sielewagi naona vitu vyajipa vyenyewe
Kwako nimetulia maji kwenye mtungi
Utake nini nikapambane nikupatie
Mi kwako nimefika Kigoma mwisho wa reli
Ukiniacha na wewe nitapururuka nitabakia
Kongoro! Na si nitakonda nitabaki mifupa
Kongoro! Mwenzako mawazo yatanimaliza
Kongoro! Ukiniacha mwenzako nitaliwa na upweke
Kongoro! Aaa yii aaah aah
Kongoro! Na si nitakonda nitabaki mifupa
Kongoro! Mwenzako mawazo yatanimaliza
Kongoro! Ukiniacha mwenzako nitaliwa na upweke
Kongoro! Aaa yii aaah aah
Mi nitakonda nitabaki mifupa
Mwenzako mawazo yatanimaliza



Авторы: Omary Ally


Marioo - Kongoro
Альбом Kongoro
дата релиза
14-04-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.