Munyax feat. CKO & Juicee Mann - CAP текст песни

Текст песни CAP - Munyax

C C N (Sonic)
Chumba Cha Ngoma yeaah
Haaah! Sana! Gang
Naskia haaah! Hio ilikuwa ni CAP (Naskia ni cap)
Naskia haaah! naskia ni CAP, Hio ilikuwa ni CAP, Bado hio ilikuwa ni CAP
Wasee wanachocha sana, wanabonga sana
Naskia chali anachocha ana ganji lakini naskia ni CAP
Naskia boy anadhani ana Manzi lakini najua ni CAP
Kwa street unabonga mob lakini majamaa wanajua ni yap
Chumba cha Ngoma ndio venye si husonga kwani hujacheki the FACTS

Boy wako alikoroga order
We ulicheza Vibaya na mlikuwa kwa trap mmeshona
Napenda wasee but roho inamove ka loner
Kuna side mingi we nishow ni gani yangu haujaona
Ndio nifike ofisi nilianza kusweep
The bean I'm rolling too deep
Tank ilikuja na leak
Mademoselle nimekuja na stick
Nilicheza chini na sibongi wakathink I'm weak
Kuna maplot sitakupa story but we juwa ni thick
Pot ilikorogwa mpaka ikapata ma shimo
Vitu nasaka we juwa abiro biro gi gino
Bado natry kuficha rada na hawajui nina-reload
Maisha ni fupi we juwa kuna vitu naoffload
Naskia chali anachocha ana ganji lakini naskia ni CAP
Naskia boy anadhani ana Manzi lakini najua ni CAP
Kwa street unabonga mob lakini majamaa wanajua ni yap
Chumba cha Ngoma ndio venye si husonga kwani hujacheki the FACTS
Naskia chali anachocha ana ganji lakini naskia ni CAP
Naskia boy anadhani ana Manzi lakini najua ni CAP
Kwa street unabonga mob lakini majamaa wanajua ni yap
Chumba cha Ngoma ndio venye si husonga kwani hujacheki the FACTS
Like kwani hujacheki the facts
Chumba cha ngoma we hitting the map
Nakumbuka matime in the past
Changa madoe ndio tuvute mashash
Na saa hii nipate kwa bash
Goro kwa shingo, mfuko ni cash
Story ianze, hii ni katambe, hapa wasoro ni dash
Cheki cheki cheki
Mali ukipewa uchunge usibleki
Seti seti seti
Shada ni foreign nataka kumedi
Wanijua kama pedi
Mali nikikupa utabaki umesteady
Itabidi umeketi juu manzi wako hana sura na jegi
See the boy anamove
Crew imejaza magoons
Nigga you hating from out of the room
Mi nimechill kwenye booth
But After the session nipate kwa vroom
Manzi amebaki kwa room
Incase unawonder ni nini nadu?
Chali anakuanga cool,
Kama ni ganji niko full.
Naskia chali anachocha ana ganji lakini naskia ni CAP
Naskia boy anadhani ana Manzi lakini najua ni CAP
Kwa street unabonga mob lakini majamaa wanajua ni yap
Chumba cha Ngoma ndio venye si husonga kwani hujacheki the FACTS
Naskia chali anachocha ana ganji lakini naskia ni CAP
Naskia boy anadhani ana Manzi lakini najua ni CAP
Kwa street unabonga mob lakini majamaa wanajua ni yap
Chumba cha Ngoma ndio venye si husonga kwani hujacheki the FACTS
Eeeh juice, niko kwa blender
Hujatosheka utamu?
Niko na tender Mali ilifika na hamu
Cheki calendar
Plug amesoma story za vitabu...
Na tutatesa
Chumba Cha Ngoma ni kama filamu
Maisha ni tamu
Hawa Mablener return to sender
You can't be a member
And if you a hater ill see you later
Hatuta kutenda
Ma ngapa ma ngapa on top of more cap
Hauna ma facts
We don't need no haters we don't need pretenders
Y'all need to relax
East Africa najua wataskiza
We toppin em charts
Asha ingine I'm not talking bout fegis
I'm also a Ras
Ahead of the race and I'm keeping it steady
Niko mbele kama white na headie
Naskia chali anachocha ana ganji lakini naskia ni CAP
Naskia boy anadhani ana Manzi lakini najua ni CAP
Kwa street unabonga mob lakini majamaa wanajua ni yap
Chumba cha Ngoma ndio venye si husonga kwani hujacheki the FACTS
Naskia chali anachocha ana ganji lakini naskia ni CAP
Naskia boy anadhani ana Manzi lakini najua ni CAP
Kwa street unabonga mob lakini majamaa wanajua ni yap
Chumba cha Ngoma ndio venye si husonga kwani hujacheki the FACTS

Авторы: Munyax

Munyax feat. CKO & Juicee Mann - CAP (feat. CKO & Juicee Mann) - Single
Альбом CAP (feat. CKO & Juicee Mann) - Single
дата релиза
30-09-2021

1 CAP

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.