Nonini - Mpaka Chini текст песни

Текст песни Mpaka Chini - Nonini

Baas (baaas)! Baas (baaas) Baas (baaas) Mocco ...
Baas pinduka twende mpaka chini (mpaka chini)
Vunja magoti twende mpaka chini (mpaka chini)
Pinduka twende mpaka chini (aaaah aaah aaah) Mpaka chini
Vunja magoti twende mpaka chini (aaaah aaah aaah) Mpaka chini
Mpaka chini, Tunakwenda kusini
Mzuka za Nonini, Wasupa bikini
Katika na mimi zungusha ka mwili
Vijana wanachizi mabuda mafisi
Fresh, unanukia nini Bless, umejibeba mingi
Piga magoti tunavua makoti
Tunapiga mapozi, looks za kidosi
Baas pinduka, twende mpaka chini
Tutishe mujini washindwe ni nini
Vunja magoti nikirusha manoti
Tunavuta mamoshi watu wananyoji aah
Fanya ni kama wewe huna adabu (Wewe huna adabu)
Peleka mpaka wapoteze fahamu (Wapoteze fahamu)
Wagenge ndani ya wote nyumba walewekwee Walewekwee
Wasupa wote ndani ya nyumba baas waletwe Baas waletwe
Baas pinduka twende mpaka chini (mpaka chini)
Vunja magoti twende mpaka chini (mpaka chini)
Pinduka twende mpaka chini (aaaah aaah aaah) Mpaka chini
Vunja magoti twende mpaka chini (aaaah aaah aaah) Mpaka chini
Kidogo unanimaliza kabisa Ukishusha pandisha Me wani tamanisha mami
Kidogo naeza guzisha guzisha
Ukishusha zungusha Me wa nichanganisha (aaah)
Siogopi gharama me hufika bei Kama ni sherehe me hupik everyday (aaah)
Nakata shinda Timmy na wembe
Kitoto kiko juu kushinda ndege
Utamu zaidi ya achari ya maembe
Kitu soft ikisonga, utamu wa tende
Bora tukikuwa down ni mrefu tu sana
Tukisimama na wewe (huh) tunatoshana
Mara si jasho mwili zikigongana Mwili zikigogana
Magenge zile zetu za kuchotana Zile za kuchotana
Juu kwa juu niku bana mtoto (mtoto)
Chini kwa chini ni kulamba lolo Lo (lamba lolo)
Baas pinduka twende mpaka chini (mpaka chini)
Vunja magoti twende mpaka chini (mpaka chini)
Pinduka twende mpaka chini (aaaah aaah aaah) Mpaka chini
Vunja magoti twende mpaka chini (aaaah aaah aaah) Mpaka chini
Baas pinduka twende mpaka chini (mpaka chini)
Vunja magoti twende mpaka chini (mpaka chini)
Pinduka twende mpaka chini (aaaah aaah aaah) Mpaka chini
Vunja magoti twende mpaka chini (aaaah aaah aaah) Mpaka chini
Baas pinduka twende mpaka chini (mpaka chini)
Vunja magoti twende mpaka chini (mpaka chini)
Pinduka twende mpaka chini (aaaah aaah aaah) Mpaka chini
Vunja magoti twende mpaka chini (aaaah aaah aaah) Mpaka chini
Kidogo unanimaliza kabisa Ukishusha pandisha Me wani tamanisha mami
Kidogo naeza guzisha guzisha
Ukishusha zungusha Me wa nichanganisha (aaah)
Ogopa DJs

Авторы: Hubert Nakitare

Nonini - Mpaka Chini
Альбом Mpaka Chini
дата релиза
01-12-2018

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.