Ay Masta - Dan'Hela Lyrics

Lyrics Dan'Hela - AY Masta



Haya Haya Haaaaa...
DanHela
Inaonyesha kabisa hupendi watu
Sogea... (Karibu)
Bila wewe jua Maisha si kitu
DanHela... Ooh Ooh
Inaonyesha kabisa hupendi watu
Usijepotea... (DanHela)
Bila wewe jua maisha si kitu hayaya
Nimekubamba wanakutongoza
Kila mmoja anakuhitaji uwe kwa-ke
Wengine mpaka wana-kuvusha border
Ili mradi kwao we ulai-nike
Shughuli ni watu
Na mimi si kiatu (DanHela)
Niahidi kitu
Hutoniacha mtupu
Kila nikikuona moyo wangu haujiwezi
Na mimi siku moja nitaenjoy lako penzi (DanHela)
Muda mwingi nakuwaza niwe macho au kwa njozi
Naamini siku moja nitaenjoy lako penzi (DanHela)
DanHela
Inaonyesha kabisa hupendi watu
Sogea... (Karibu)
Bila wewe jua Maisha si kitu
DanHela... Ooh Ooh
Inaonyesha kabisa hupendi watu
Usijepotea... (DanHela)
Bila wewe jua Maisha si kitu hayaya
Wengine unawafanya wanapaa (wanapaa)
Wengine Chali miguu juu
Wengine shida boom bye bye (boom bye bye)
Wengine kila siku resi tu
Njoo Wee... Unasakwa na wanaume
Njoo Wee... Ndugu wanagombana si basi uchune
Wote unaoishi nao ni lazima wavume
Haya-Haya aaaaa...
Boomba
Na-ni asiyependa Vumba
Usipolisaka utakula Pumba
Lenye Ubani haliwezi Vunda
Utachunda.
DanHela. Ooh Ooh
Inaonyesha kabisa hupendi watu
Sogea... (Karibu)
Bila wewe jua Maisha si kitu
DanHela... Ooh Ooh
Inaonyesha kabisa hupendi watu
Usijepotea... (DanHela)
Bila wewe jua Maisha si kitu hayaya
Haya hayaa hayaa



Writer(s): Ambwene Yessayah


Ay Masta - Dan'Hela
Album Dan'Hela
date of release
29-02-2020



Attention! Feel free to leave feedback.