Alikiba feat. AbduKiba, cheed, k2ga & KILLY - Mwambie Sina Lyrics

Lyrics Mwambie Sina - ALIKIBA , KILLY



Nafsi inalalama
Sina mwambie
Kila nikimtamzama
Kwa kina
Kiukweli
Mwambie silali
Tena ananikata nguvu
Mimi sina haliii
Mi nampenda yeye tu
Ooohh
Sinaa
Sinaaaaa
Sina mwambie
Yeye ndio dawa yangu (Dawa)
Sina. (Dawa)
Sinaaaa
Sina mwambie
Ooh
Mwambie sina wakutamba nae
(Sina mie)
Mwambie sina wa kuringa nae
(Sina mie)
Mwambie sina (ooh)
Wakutamba nae
(Sina mie)
Mwambie sina (ooh)
Wakuringa nae
Kama gari mi nimpatie
Nijue
Kama nyumba mi nimpatie yeye
Nimtambue
Kama gari mi nimpatie yeye
Nijue
Kama nyumba mi nimpatie yeye
Nimtambue
Nenda mwambie mimi sinaa
(Wa kumpa)
Siri zangu anitunzie moyoo
Tena mwambie mie nipo hoi
Mi nampenda
Ai yoyoooo
Mi napenda heshima
Hatuharibiani majina
Kanichapa usinga
Kanifunga mdomo siachami
Kwa gharama za shida ya moyoo
Waiyoyoyo
Mami yoyoyoooo
Mami yoyooo
(Wa kutamba nae)
Mwambie sina wakutamba nae
(Sina mie)
Mwambie sina wa kuringa nae
(Sina mie)
Mwambie sina wakutamba nae
(Sina mie)
Mwambie sina wakuringa nae
Kama gari mi nimpatie
Nijue
Kama nyumba mi nimpatie yeye
Nimtambue
Kama gari mi nimpatie yeye
Nijue
Kama nyumba mi nimpatie yeye
Nimtambue
Ona mi nakosa raha
Amani sina
Sina ninachotaka
Wewe ndio wapekee
Skendo nitende vipi
Wabongo wanitangazee
Wanasema una danga
Kwaku ni danga che
Yaani niko ape
(Pe)
Che
(Che)
Alolo
(Alolo)
Kama madebe
Madebe
Madebe
Madebe
Kama Madebe
Madebe
Madebe
Madebe
Baadae (mimi na wewe)
Baadae (aaah)
Baadae (ooh)
Baadae (aah)
Baadae (mimi na we)
Baadae (mtoto ooh na na)
Baadae (aah)
Baadae. (Aah)
Mwambie sina (mwambie sina)
Wakutamba nae
(Sina mie)
Mwambie sina (eeh)
Wa kuringa nae
(Sina mie)
Mwambie sina (ooh)
Wakutamba nae
(Sina mie)
Mwambie sina wakuringa nae
Kama gari mi nimpatie
Nijue
Kama nyumba mi nimpatie yeye
Nimtambue
Kama gari mi nimpatie yeye
Nijue
Kama nyumba mi nimpatie yeye
Wakutamba naye
End




Alikiba feat. AbduKiba, cheed, k2ga & KILLY - Mwambie Sina
Album Mwambie Sina
date of release
04-08-2019



Attention! Feel free to leave feedback.