Ben Pol feat. Cedo - Ntala Nawe Lyrics

Lyrics Ntala Nawe - Cedo , Ben Pol



Eh mpenzi we, usiwe na mashaka
Ingawa mashida kesho tutajaliwa
Nikiwa kwa raha, tufurahi pamoja
Na ninapolia we wanipa faraja
Ntala nawe, ntala nawe
Kwenye shida ama kwenye furaha dada
Ntala nawe, ntala nawe
Kwenye jua ama kwenye mvua
Ona nyota zetu zinavyo meta meta
Na ukitabasamu unapendeza sana
Nikiwa kwa giza umekuwa mwangaza
Tuliyopitia umenivumilia, aah
Ntala nawe, ntala nawe
Kwenye shida ama kwenye furaha dada
Ntala nawe, ntala nawe
Kwenye jua ama kwenye mvua
Oh uh oh ooh
Ntala nawe, ntala nawe
Kwenye shida ama kwenye furaha dada
Ntala nawe, ntala nawe
Kwenye jua ama kwenye mvua
Mmh
Ntala nawe, ntala nawe
Kwenye shida ama kwenye furaha dada
Ntala nawe, ntala nawe
Kwenye jua ama kwenye mvua
Kwenye jua ama kwenye mvua




Ben Pol feat. Cedo - Ntala Nawe
Album Ntala Nawe
date of release
04-10-2018



Attention! Feel free to leave feedback.