Darassa feat. Mr Blue - Heya Haye Lyrics

Lyrics Heya Haye - Mr Blue , Darassa



Everbody waoh!
Nasema mi mwenye nimetokea gheto
Wanangu wa gheto mnakuwa je?
Ukonga segerea mpaka keko masela wa jela mmelalaje?
Watu tunafunga mitaa jiji kimyaa
Waambie nimesema mtu mzima
Vunja madharau jenga heshima
Mbwa ni mbwa hata umpe jina
Kazi yangu kuzima moto moto
Kuwa wewe kibatari.
Studio gongo la mboto kiwalani
Nishatembea jua kali (hustle)
Ukiongelea msoto kwenye msoto mi nna sifa kama za Dully
Nilimuahidi mama nikiwa mtoto nikikuwa ataishi vizuri.
Siwezi kuact kama staa nakataa (nakataa)
Siwezi kufake nikuonyeshe nakufaa (nakufa)
Siwezi kushiba kama wanangu wananjaa
Mister I don't give a what
Kama vile nakichaa.
Heya heya heyaaa
Nalilunch maujiza watu hao
Tola maganza tola maganza
If you thank God for the life tola maganza tola maganza
Wa 2000 wa kweli tola maganza
Oohh! bora nizunye tola maganza
Karibuni wote jimwageni wote
Waliondani naa
Na walionje wote
Haya maji kama ya mvua yananyesha kote
Mlipo toka
Mnapajua msibani msibanane sote
Kutoka gheto mpaka nyumbani
Mambo mbeto mseto wachawi kunani
Na mister T-touch chombo kipo angani
Nasukuma husukani waburudani kwenye fani
Hapa shwari hatuna habari na majuu
Hakuna worry Darassa na mister Bluee
Nakumbukumbu anazo mpiga picha
Mliolewa mtasema yaliojificha
Niete rap music king wa rap teacher
Kwenye maujuzi tangu juzi nakuficha
Nipo hapa kama rapa wa kisasa
Nipo na Darasa niite bapa kwenye anasa
Heya heya heyaa!
(Nilikuambia eeh)
Heya heya heyaa!



Writer(s): Darassa


Darassa feat. Mr Blue - Heya Haye
Album Heya Haye
date of release
10-08-2015



Attention! Feel free to leave feedback.