Eddy Kenzo feat. Bahati - Barua Lyrics

Lyrics Barua - Eddy Kenzo , Bahati



Barua kwa mama ah
Barua kwa mama
Nisikize, ungepewa nafsi uwe mzima
Singetaka uende,
Ndoto zangu nyingi zilizimwa tangu siku uondoke
Ungepewa nafsi uwe mzima
Singetaka uende,
Ndoto zangu nyingi zilizimwa tangu siku uondoke
Ulitaka sana niende shule,
Nikaokoe kijiji mama,
Nikirudi home nisiwe yule
Nakumbuka maneno mazito yako
Ah vile vile,
Ah barua kwa mama,
Ifikie mama,
Ah barua kwa mama
Nitakukukmbuka sana
Ah barua kwa mama,
Ifikie mama,
Ah barua kwa mama
Nitakukukmbuka sana, mama
Mama, mama am coming to you
As you know mama we are coming from far
*But we kept on dreaming,
And we never gave up
I told you mama i will make you proud of me
As you know mama,
Ah barua kwa mama,
Ifikie mama,
Ah barua kwa mama
Nitakukukmbuka sana
Ah barua kwa mama,
Ifikie mama,
Ah barua kwa mama
Nitakukukmbuka sana, mama




Eddy Kenzo feat. Bahati - Biology
Album Biology
date of release
10-07-2017



Attention! Feel free to leave feedback.