Ethic Entertainment - Bazenga Lyrics

Lyrics Bazenga - Ethic Entertainment



Magix Enga on the beat
Knock, knock who is there Bazenga
Baby kama una-come, come na dera
Alafu ka' una-twerk, twerk kwa meza
Ukiuliza why? Why? Nalenga
Mbona sichochi mi' ni fathela
Pia ukitaka una'eza niita Mandela
Na ukidai twende dry kwa keja
Ukinidai hivyo, hivyo napenda, ah
Napenda msupa mahuru, ngoko anaweza ng'oa
Msupa hudunga dera na mahanga pia husonga
Ngoko ka' nikitoka, anakutoaga ikibonga
Cheza na hiyo kitu aki-reverse ni ka' ni gia
Cheza na hiyo kitu siwezi gwaya, siwezi fear
Akisikia bae come, atabanja ataniita Bazu
Hakuna haja nitoe juu sitoja' inua kanzu
Ka' amedunga dera, itabidi niinue kanzu
Knock, knock who is there Bazenga
Baby kama una-come, come na dera
Alafu ka' una-twerk, twerk kwa meza
Ukiuliza why? Why? Nalenga
Mbona sichochi mi' ni fathela
Pia ukitaka una'eza niita Mandela
Na ukidai twende dry kwa keja
Ukinidai hivyo, hivyo napenda, ah
Eyo, eh, wewe ni wa daily, saa zile niko njaa
Saa zile niko-lonely na Medi na Kipuff
Betrayal za maarif na bado unanidai
Na msupa nikistedi siwezi nika reverse
Napenda kukupanda ukinipa hiyo ass
Ukinipa mapenzi ka' bado unani-curse
Je unajua sikupendi nab ado umeni-trust?
Ati siku moja maybe nitakuta hiyo-
Knock, knock who is there Bazenga
Baby kama una-come, come na dera
Alafu ka' una-twerk, twerk kwa meza
Ukiuliza why? Why? Nalenga
Mbona sichochi mi' ni fathela
Pia ukitaka una'eza niita Mandela
Na ukidai twende dry kwa keja
Ukinidai hivyo, hivyo napenda, ah
Bed haikosi, bed iko ya shang' bed
Bed haikosi, bed kuna ya mbao
Ka' matress haitoshi bed, kulala down
Na for whine party, bed narausha
Before kifo omba, before meda puff zamu
Looka Magnota bila Messi huwa nyau
Logging twit ka' nap kudisia ngata
Territory una-mark after ngasha
Eyes in the room and they zoom you
Send me your nude nizi-zoom, zoom
Tamu tongue za you, daily mi huzi-zoom
Floss hazina lock, saidia mabuyu
Knock, knock who is there Bazenga
Baby kama una-come, come na dera
Alafu ka' una-twerk, twerk kwa meza
Ukiuliza why? Why? Nalenga
Mbona sichochi mi' ni fathela
Pia ukitaka una'eza niita Mandela
Na ukidai twende dry kwa keja
Ukinidai hivyo, hivyo napenda, ah



Writer(s): Boniface Mwangi, Leroy Miwa Ouma, Magix Enga, Peter Njau Kinya, Thomas Mcdonald Otieno


Ethic Entertainment - Bazenga - Single
Album Bazenga - Single
date of release
18-06-2021




Attention! Feel free to leave feedback.