Exray Taniua feat. NDOVU KUU & Mejja - Usherati Lyrics

Lyrics Usherati - Mejja , Exray Taniua , NDOVU KUU



Kenya mi maisha imenionyesha
Marafiki wamenilewesha
Wasichana wakanionjesha
Naskia hadi ex wangu siku hizi ananyonyesha
Ushe usherati
Ushe usherati
Ushe usherati!
Naogopanga sana usherati
Ushe usherati,
Ushe usherati
Ushe usherati!
Naogopanga sana usherati
The louder the woofer, the tighter the guest
The shorter the monkey the longer the tail
The bigger the forehead, the bigger the heart
Kanairo kuomoka, the bigger the loans
First ni kuomoka ni kurepent
Ka breakfast kishash ndo nadepend
Napenda aki baby utapenda
Utasema aki baby utasema
I wish nipate Sabina, before nipate joy
I wish nipate jina, ka subaru boy
Si ye ndo alitaka tufanye kitu ataenjoy
Alafu ananikol "Aki we ulinienjoy"
Ushe usherati,
Ushe usherati
Ushe usherati!
Naogopanga sana usherati
Ushe usherati,
Ushe usherati
Ushe usherati!
Naogopanga sana usherati
Ai siku hizi huskii Pamela bado anameza
Ye hushinda kwa clabu na makonyagi juu ya meza
Alinionyesha taabu ju usherati nikampoteza
Usherati ni kitu kubwa hii Kanairo huwezi ignore
Na mafisi geri kubwa chunga bibi huwezi know
Ogopa ule mtu dem yako anaitanga bro
We hudhani ni bro wanakuchezanga kipro
Wanakufanya brikicho, wanakutoka ki-Kipchoge
Pesa yako wakipata utaionea kwa kisogo
Hii ni city ya usherati tabia zetu jo ni mbovu
Utajua madem wa campo si kidogo
Ushe usherati,
Ushe usherati
Ushe usherati!
Naogopanga sana usherati
Ushe usherati,
Ushe usherati
Ushe usherati!
Naogopanga sana usherati
Ka manzi yako ye hushinda akicheki status Whatsapp
Huh kaa macho
Sana sana wao hukuwa wakifuatilia ma ex wao
Eh! Ex wa kitambo
Usherati imejaa inauma
Ulidhani manzi yako kumbe ni mali ya umma
Unampenda kwa dhati ehh
Na ye hushinda kwa ka-local Kilimani
Akikatiwa na bazenga ana kitambi eh
Akipanua ndio apelekwe Dubai
Aki beb huyu msee tuligrow na yeye
Vile mmeshikana enda tu uishi na yeye uh
Ushe usherati,
Ushe usherati
Ushe usherati!
Naogopanga sana usherati
Ushe usherati,
Ushe usherati
Ushe usherati!
Naogopanga sana usherati
(It's Byron baby)



Writer(s): Tony Kinyanjui


Exray Taniua feat. NDOVU KUU & Mejja - Usherati (feat. NDOVU KUU & Mejja) - Single
Album Usherati (feat. NDOVU KUU & Mejja) - Single
date of release
24-09-2021



Attention! Feel free to leave feedback.