Harmonize - Acha Nilewe Lyrics

Lyrics Acha Nilewe - Harmonize



Mmmm
Mwambie achome udi
Na ubani ii
Nimesali eeh
Atimize kusudi
Lilo moyoni ii
Ufurahi eh
Maana atatembea furaha
Nayo imegeuka simanzi
Umenipa jeraha *pili iliyofanya nilie mapenzi
Nashindwa ata kula
Mimi sipati usingizi
Dunia mduara mpaka mi kulipiza siwezi
Pesa hazikuwa tatizo,
Nlimpatia kila hitaji la moyo wake
Na kama sura ndo kigezo
Aliniambia mi ndio chaguo lake
Acha nilewe
Mie nilewe
Acha nilewe
Mi nina mawazo
Acha nilewe
Ohnilewe
Acha nilewe
Niyapoteze mawazo
Mpenzi upepo wa bahari
Leo kusimama shwari
Akiamungu sikujua
Tizama usiku silali
Tena nakesha nikisali
Nachotesa mazoea
Kumbe kosa la moyo wangu
Ni kumpenda kwa dhati
Nikataka awe wangu na nikaapa simwachi
Liicha ya pendo langu
Ila bado alinitaki
Iwapi dhamani yangu ama sina maana
Yarabi njoo baba
Pesa hazikuwa tatizo,
Nlimpatia kila hitaji la moyo wake
Na kama sura ndo kigezo
Aliniambia mi ndio chaguo lake
Acha nilewe
Mie nilewe
Acha nilewe
Mi nina mawazo
Acha nilewe
Ohnilewe
Acha nilewe
Niyapoteze mawazo
Oh niache, niache niache
Eh niache, niache niache
Oh niache, niache niache
Acha nilewe
Mie nilewe
Acha nilewe
Mi nina mawazo
Acha nilewe
Ohnilewe
Acha nilewe
Niyapoteze mawazo




Harmonize - Acha Nilewe
Album Acha Nilewe
date of release
27-04-2018




Attention! Feel free to leave feedback.