Izzo Bizness - Mr. Christmas Lyrics

Lyrics Mr. Christmas - Izzo Bizness



Wananiitaje Mr Xmas
Ni kwel Mr Xmas
Wananiitaje Mr Xmas
Huwaga naongea sense
Mr Xmas
Ni kwel Mr Xmas
Wananiitaje Mr Xmas
Huwaga naongea sense
Kwanza 2sal 2mshnde shetani Amen
Mi Emanuel Bizness das ma Nickname
Beat ngumu nailainisha again na again
Staki shari m mstaarab muulze wakazi
Dulayo mida ya kazi
Aman kwen watu wang wa tang na tang
Bila nyie hapa ckai hapa c level zang
Safari bado ndefu iman ippo 2tafka
Mchezo c mchaf waulze waliodondoka
Sala za mama zanilinda mabaya zaniepusha
Nmezaliwa mm kushinda mbeya nawakilsha
Pesa kicheche inayemtaka kicheche wa uhakika
Pesa kicheche wa kumkata bila mashaka
Hustla perity faida 2nawekeza
Mbio zenyewe za vijiti nan ntampokeza
Na msaan mwenzang cku hiz kunisnitch mbona fashion
Mr Xmas
Ni kwel Mr Xmas
Wananiitaje Mr Xmas
Huwaga naongea sense
Wananiitaje Mr Xmas
Ni kwel Mr Xmas
Wananiitaje Mr Xmas
Huwaga naongea sense
2mepanda gari moja
2melipwa tofauti
Ndiyo maneno ya kaka
Hasa 2kiwa kwenye tours
Hii changa moto ninja uckate tamaa
Ongeza juhud maarifa nyota itang'aa
Game kwa sasa inalipa
Na ni vita we jipange
Sanaa co kusikika
Kudundika bega upande
Msaan kuwa na majukumu
Wadau haliwahusu
Shopper c ndefu hela nusu
Bisha ukae mahabusu(ponda tuu)
Kuhusu siasa kuhusu game usitest(ponda tuu)
Kuhusu anasa kuhusu game usimiss(ponda tuu)
Kuhusu Lisa kuhusu Juma usmatch(warning x4)
I say hii n meenie man Mo
Rack with the crayz floor
Saana uwanja mi mchezaji
Game naicontrol
We unawanga kushinda kwa waganga
Me ukwachu umenitinga
Namtaka Snura majanga nmevurugwa
Mr Xmas
Ni kwel Mr Xmas
Wananiitaje Mr Xmas
Huwaga naongea sense
Mr Xmas
Ni kwel Mr Xmas
Wananiitaje Mr Xmas
Huwaga naongea sense
Jingle bells Jingle bells Jingle all the way
Oh what fun
It is to ride
In a one horse open sleigh,
Jingle bells jingle bells
Jingle all the way! (they call me Xmas)
Oh what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Mr Xmas
Ni kwel Mr Xmas
Wananiitaje Mr Xmas
Huwaga naongea sense
Mr Xmas
Ni kwel Mr Xmas
Wananiitaje Mr Xmas
Huwaga naongea sense



Writer(s): izzo bizness


Izzo Bizness - Mr. Christmas - Single




Attention! Feel free to leave feedback.