Jovial - Mimi Ni Wako Lyrics

Lyrics Mimi Ni Wako - Jovial



Wewe tabibu
Wa moyo
Niwapo nawe
Nipo huru
Raha ya penzi
Wajua ni enzi
Wako baby
Pengine siendi
Kwako mfungwa
Bila shaka
Nimetua nanga
Kwa hali na Mali
Wangu wa dhati
Daima mi nawe
Mi ni wakooo
Ua lakooo
Mi ni wakooo
Hadi mwishoo
Siku yetu kuu Leo
Ndio hii
Tabasam limetanda usoni
Nasema ndiyo mi ni wako
Wa halali
Kwa hali na Mali
Wangu wa dhati
Daima we nami



Writer(s): Juliet Miriam Ayub


Jovial - The Baddest Vocalist Collection
Album The Baddest Vocalist Collection
date of release
15-08-2019



Attention! Feel free to leave feedback.