Jua Cali - 2.Safsana Lyrics

Lyrics 2.Safsana - Jua Cali



Hapo sawa, asanta
Safsana (hapo sawa)
Vile niliingia ngoma sikujua vile itakuwa
Kitu nilikuwa najua tu nitawaua
Nipe pen nipe karatasi
Mawazo zote zitoke kichwani
Tuko wengi lakini najua mi niko sawa
Mi ndiyo kusema mi ndiyo yule mbaya
Calif yote nyuma yangu
Mpango nikuchange industry ikuwe kwangu
Wape ngoma tamu wasirudi nyuma
Wasanii tunawacheka wakianguka
Genge jina kubwa inasimama
Tukitembea kila mahali kila mtu anasema
Safsana, safsana, safsana
Hapo sawa, asanta
Safsana, safsana, safsana
Hapo sawa, asanta
Jina inajipa lakini sijaridhika
Mavijana wako na mimi
Wazee sijawashika
Polepole tu watakubali
Polepole tu wataelewa lugha ya mtaani
Nani alisema hatutatoboa
Hakuna makazi hii ndio kitu itatuokoa
Show ya bure mi napiga tu
Hata wasipoinua mkono nitawaimbia tu
Hivyo hivyo hakuna kuogopa
Naua show ungedhani mi ni show stopper
Genge ndiyo hiyo inabaki imesimama
Baada ya show kila mtu anasema
Safsana, safsana, safsana
Hapo sawa, asanta
Safsana, safsana, safsana
Hapo sawa, asanta
Ka unasupport Genge shukran sana
Ka we ni DJ shukran sana
Maclub zote shukran sana
Radio zote shukran sana
Watu wa Majuu shukran sana
Mapromoter wote shukran sana
Mtaa zote shukran sana
Wewe na wewe shukran sana
TV zote shukran sana
Magazeti zote shukran sana
Macorporate wote shukran sana
Bila nyinyi hatungekuwa hapa
Safsana, safsana, safsana
Hapo sawa, asanta
Safsana, safsana, safsana
Hapo sawa, asanta
Safsana, safsana, safsana
Hapo sawa, asanta
Safsana, safsana, safsana
Hapo sawa, asanta
Eeh, safsana



Writer(s): paul nunda


Jua Cali - Mali Ya Umma
Album Mali Ya Umma
date of release
12-09-2019




Attention! Feel free to leave feedback.