King Kaka - Zarika Lyrics

Lyrics Zarika - King Kaka



Ah ah ah ah, ah-aah
Ah ah ah ah, ah-aah
Ah ah ah ah, ah-aah
Ah ah ah ah, ah-aah
Tamu Sana
Usichoke! Key ya mwisho ndio hufungua ledo
Wacha nishike Sixteens ka kipedo
Bado, I'm so so fresh
Table na envy na dupliwa so so deaf
Times, I was so so stressed
Now, huh, I'm so so blessed
Remember you only win, or you learn
Hakuna sijui oh oh nili-blunder
You make your bed basi lala kwa kitanda
Ka new era haikutoshei buda geuza ngepa
No handed me nani niliji-let
Sai na razorblade ka Gillete
Kama Zarika naipea Punches (Punches)
Kama Zarika naipea Punches (Punches)
Kama Zarika naipea Punches (Punches)
Kama Zarika naipea Punches (Punches)
From counting ideas, sai nahesabu mapesa
Na friendship sio kuhesabu favours
Kumbuka life si IG itadai insights
Hizi lines si orbituary don't die inside
I have mouths to feed na na-raise ka baby
Kuna nights nilikuwa sleepy ka Davy
Na kumbe, wananipendaga this much
The only time wanarap kunishinda labda Christmas
Niko juu sana but a few hours to the people
I'm strong now 'cause I started weak
Na tour Europe na na tour Memphis ka fleek
Sio lazima nibonge presence yangu inaspeak
Kama Zarika naipea Punches (Punches)
Kama Zarika naipea Punches (Punches)
Kama Zarika naipea Punches (Punches)
Kama Zarika naipea Punches
(Kwa kusaidiana)
(So, life ilikuwa, ilikuwa hard haikuwa ati ni rahisi hivyo)
(But, tulikazana mpaka tukafika mahali ambapo tumefika)
(Ju, pia I think kumwomba pia Mwenyezi Mungu sana)
(Nd'o ilifanya mpaka tukafika mahali ambapo tumefika)
(Sababu, haingekuwa yeye hatungefika hapa mahali ambapo tumefika)



Writer(s): Kennedy Otieno Ombima


King Kaka - The Servant & the King
Album The Servant & the King
date of release
20-03-2020




Attention! Feel free to leave feedback.