Linah - Nia Yangu Lyrics

Lyrics Nia Yangu - Linah



Kama mama anavyompenda mwana toka tumboni
Nami ndivyo nilikupenda tangu zamani
Moyo uliniuma pale ulipoweka donda
Nafsi ilisononeka uku ikisemaa
Moyo uliniuma pale uliponiongopea
Nafsi ilisononeka uku ikisemaa
Kamwe sitopenda maishani na dunia
Wewe ubaki peke yako na mimi kivyangu
Nia yangu sikwaze
Kwenye moyo wangu unitoke
Ili moyo upoe
Donda la moyo lipone
Nia yangu si mbaya
Najinusuru mapema
Akijikwaa mmoja
Nami wa nyuma kujikinga
Nia yangu sikwaze
Kwenye moyo wangu unitoke
Ili moyo upoe
Donda la moyo lipone
Nia yangu si mbaya
Najinusuru mapema
Akijikwaa mmoja
Nami wa nyuma kujikinga
Ulipokuja kunishinda kama mi mwandani
Mwenye nzuri tabia uzuri wa sura na busara pia
Kukupenda nilijisumbua
Kumpenda asiependeka
Moyo wangu naomba wachie upumue
Kukupenda nilijisumbua
Kumpenda asiependeka
Moyo wangu naomba wachie upumue
Nia yangu sikwaze
Kwenye moyo wangu unitoke
Ili moyo upoe
Donda la moyo lipone
Nia yangu si mbaya
Najinusuru mapema
Akijikwaa mmoja
Nami wa nyuma kujikinga
Nia yangu sikwaze
Kwenye moyo wangu unitoke
Ili moyo upoe
Donda la moyo lipone
Nia yangu si mbaya
Najinusuru mapema
Akijikwaa mmoja
Nami wa nyuma kujikinga
Nia yako unilize
Moyo wangu wangu uutese daily
Kosa lako unanigeuzia mie
Nia yako unilize
Moyo wangu wangu uutese daily
Kosa lako unanigeuzia mie
Nimekushtukiaa
Unaniongopea wewe
Kosa lako unanigeuzia mie
Nimekushtukiaa
Unaniongopea wewe
Kosa lako unanigeuzia mie
Nia yangu sikwaze
Kwenye moyo wangu unitoke
Ili moyo upoe
Na Donda la moyo lipone
Nia yangu si mbaya
Najinusuru mapema
Akijikwaa mmoja
Nami wa nyuma kujikinga




Linah - Ole Thembalami




Attention! Feel free to leave feedback.