Mr Seed - Gwara Gwara Lyrics

Lyrics Gwara Gwara - Mr Seed



Nasema Gospel lazima iende viral
Tukidance gwara gwara now you know
Tanzania kenya na congo
Jina la yesu litafika everywhere
Kunja mguu enda chini mpaka chini
Ni yesu tu ndio si tunaamini
Mikono juu nakwambia weka juu
Jina la yesu litafika everywhere
Tuna gwara gwara
Tunadancia yesu
Gwara gwara
Hakuna kama yesu
Gwara gwara
Tunadancia yesu
Gwara gwara
Hakuna kama yesu
Everyday tuna step on the enemy
Step on the enemy
Ati tuna step on the enemy
Step on the enemy
Wanasema gospel si ya wajanja
Wakristo na mashida wana majanga
Shetani tunamzika hii ni matanga
Na nguvu ni za yesu si za waganga
Kunja mguu enda chini mpaka chini
Ni yesu tu ndio si tunaamini
Mikono juu nakwaambia eka juu
Jina la yesu litafika everywhere
Tuna gwara gwara
Tunadancia yesu
Tunagwara gwara
Hakuna kama yesu
Tuna gwara gwara
Tunadancia yesu
Tuna gwara gwara
Hakuna kama yesu
Gwara gwara
Tunamsifu na different style
Kwa makofi na kucheza
Weka shida chini anaweza
Si unajua anapendeza
Wanasema gospel si ya wajanja
Wakristo na mashida wana majanga
Shetani tunamzika hii ni matanga
Na nguvu ni za yesu si za waganga
Kunja mguu enda chini mpaka chini
Mikono juu nakwaambia eka juu
Jina la yesu litafika everywhere
Tuna gwara gwara
Tunadancia yesu
Tunagwara gwara
Hakuna kama yesu
Tunagwara gwara
Tunagwara gwara




Mr Seed - Gwara Gwara - Single
Album Gwara Gwara - Single
date of release
19-06-2018




Attention! Feel free to leave feedback.