Mutoriah - Lonely Lyrics

Lyrics Lonely - Mutoriah



Umenitesa n'metosheka, Roho imezoea
Ukitoka mi najua, Leo sitatulia
Juu kile nafikiria, huna idea
Na yale napitia, I know you know
I watch you put on makeup
Standing by the mirror
Your vibration is familiar
Yeah, it's a trigger
Nakumbuka ukiweza
Kunifurahia
I wish you would stay
But I know you moved on
Nakujua tena sana
Nikikuona najua kile unawaza
And you know
Naeza jua ukidanganya
So I find it so confusing when you lie love
It gets so lonely
Usiku utanipata na mawazo
You say you love me
But najua uliniachanga kitambo
Najua uliniachanga kitambo
Nimezeeka, so sitakasirika
Nimeona ya dunia, sitalipishia
Ukitenda utatendwa
Kwanza na unayempenda
Binadamu akiumia, bado atarudia
Nakujua tena sana
Nikikuona najua kile unawaza
And you know
Naeza jua ukidanganya
So I find it so confusing when you lie love
It gets so lonely
Usiku utanipata na mawazo
You say you love me
But najua uliniachanga kitambo
Najua uliniachanga kitambo
It gets so lonely
Usiku utanipata na mawazo
You say you love me
But najua uliniachanga kitambo
Najua ushaamua mi si wako



Writer(s): Mutoria Mwaura


Mutoriah - Lonely
Album Lonely
date of release
09-09-2022

1 Lonely




Attention! Feel free to leave feedback.