Mutoriah feat. Njerae - Wewe Lyrics

Lyrics Wewe - Mutoriah feat. Njerae



Nilikuona juzi ukipita,
Kajipa moyo na nikakuita,
Ukasimama nikakaribia,
Hisia zangu kaanza simulia,
Kichwani mwangu fikira na mawazo
Na tumaini la kujenga mwanzo
Wa upendo na huyu mrembo
Naacha ufisi nabadili mienendo
Baby skia, nimebadili yangu njia,
Hisia ninazo sikia, nisha amua, amua ni wewe,
Baby skia, umenichanganisha pia,
Nimemaliza kuulizia, nimeamua ni wewe,
Amua ni wewe
Sisemi sikupendi, lakini siwezi,
Moyo wangu kavunjwa mara mia,
Lakini bado nataka kuwa nawe,
Tujenge nyumba tuishi na baadaye,
Watoto nao waweze kutupenda,
Naogopa usinivunje moyo
Baby skia, nimebadili yangu njia,
Hisia ninazo sikia, nisha amua, amua ni wewe,
Baby skia, umenichanganisha pia,
Nimemaliza kuulizia, nimeamua ni wewe,
Amua ni wewe
Wewe, wewe, wewe
Wewe, wewe, wewe
Wewe, wewe, wewe



Writer(s): Mutoria Mwaura, Njeri, Njeri Mwengi


Mutoriah feat. Njerae - Dive In
Album Dive In
date of release
22-06-2019



Attention! Feel free to leave feedback.