Otile Brown - Shujaa Wako Lyrics

Lyrics Shujaa Wako - Otile Brown



Ukihitaji rafiki unipigie (unipigie)
Nami ntafika kabla dakika hajizakwisha,
Kifuani mwako ntakuliwaza,
Na ntakesha nkikutazama ukilala
(BRIDGE)
Ntakua shujaa wako,
Ntakua kila kitu ukipendacho
Mwanaume kamilifu,
Ntakua shujaa wako,
Ntakua kila kitu ukipendacho,
Mwanaume wa kimiujiza baby, eh
(CHORUS)
Nataka niwe(niwe) yule umwaminiaye, nieleze siri zako ntazihifadhi.
Nataka niwe(niwe) yule akufarijiaye, niambie shida zako ntazitatua.
Unastahili bora mpenzi nami ntakufanya ujihisi muhimu tena mwenye dhamani
Ntakupumbaza na mapenzi, nawe utajihisi kama we ndo mwanamke pekee kwenye hii sayari.
Maana ukichoka, ntakuogesha, ntakupikia, ntakulisha, nikupeleke kitandani nikuimbie mpaka ulale, babe,
(BRIDGE)
Ntakua shujaa wako, kila kitu ukipendacho
Mwanaume kamilifuu
Ntakua shujaa wako,
Ntakua kila kitu ukipendacho
Mwanaume wa kimiujiza baby,
(CHORUS)
Nataka niwe(niwe) yule umwaminiaye, nieleze siri zako ntazihifadhi.
Nataka niwe(niwe) yule akufarijiaye, niambie shida zako ntazitatua.
Nataka niwee ...eh
Natamani niwe... eh
Nataka niwe... niwee... eh



Writer(s): Otile Brown


Otile Brown - Shujaa Wako
Album Shujaa Wako
date of release
03-06-2016




Attention! Feel free to leave feedback.