Spark - Ombi Langu Lyrics

Lyrics Ombi Langu - Spark



Unajua nakupenda
Na ndio maana mi naimba ×2
Ombi langu kuja kwako mi nadhani limefika. oooh baby
Cha kushangaza hata majibu hayajafika. oooh baby.
Sasa mi nataka jibu moja tu.
Kwamba wanipenda hunipendi du.×2
Kila kukicha moyo wangu uliuteka. oooh baby.
Bila kujua Spaki kwako nikafika, baby I love you
Sikukuficha ukweli nikakupa, honey I need you.
Elewa mi haya ya moyoni yanayotoka, wewe nakupenda.
Wajua nakupenda, ndio maana mi naimba×2
Ombi langu kuja kwako mi nadhani limefika.
Cha kushangaza hata majibu hayajafika.
Sasa mi nataka jibu moja tu.
Kwamba wanipenda hunipedi du.
Ona mi nahangaika sili napata shida.
Lakini kwa sababu kwako mi nimezimika
Sijui ni vile au labda nakupenda
Ndio chanzo baby cha kunitesa×2




Spark - Tip Top Connection
Album Tip Top Connection
date of release
23-09-2014




Attention! Feel free to leave feedback.