Stamina - Like Father Like Son Lyrics

Lyrics Like Father Like Son - Stamina



Hehe, ndege ya mwanza imetuwa mzanfu
Yoh, wapinzani tumbo joto kunizkia mtoto wa faridi
Weka mbali na watoto, hii ni sumu ndani ya jiji
Usa kura husiuze kitu ambacho sicho
Na ukimuona musa sura, mwambie hatauza hadi jicho
City sikai maana huwai, maana huai siku hizi ya kuigiza
Ulaya sipai nyumbani na yaya bado viza
Sina usuperstar, mi ni superstar,
Me nastar vina, nawapa shida hawa mastar jina.




Stamina - Like Father Like Son
Album Like Father Like Son
date of release
09-06-2015




Attention! Feel free to leave feedback.