Tunda Man feat. Harmonize - Badman Lyrics

Lyrics Badman - Tunda Man , Harmonize



Cough
(Mafia)
Mi sio Mwanaume wa Panga
Wala sio Mwanaume wa Shoka
Ila na roho mbaya mpaka wachawi wanaogopa
Kwangu mke bora anapatikana Kimboka
Nishawahi fanya Balaa mpaka Shetani anaogopa
Nishaua sana Panya bila kutumia Sumu
Nishatumiaga beseni kubebea majukumu
Mwenzenu kumpiga boss kwangu sio kazi ngumu
Mtoto wa miaka miwili namvutisha (Ndumu)
Yaani naogopwa kama kelele za mwizi
Ukipanga kuniroga ujue unaroga Chizi
Kwenye bwawa la Mamba mi napiga mbizi
Na nikifa siachi peko naacha fizi
(Oyaa Mi Mtu Mbad)
Wanangu mi mtu Mbaya
(Oyaa Mi Mtu Mbad)
Wanangu mi mtu Mbaya
Cough
Hata ukienda kwa muganga
Kutambika jina langu
Atakujibu nishazikwa
We soma matanga
Kisha niibuke na wanangu
Tunakula kitakachopikwa
Njia nilizopita hazinaga mfano
Mwenzako nimeshapita hadi tundu la sindano
Lengo kutimiza ndoto na sio mashindano
Ndo maana nawasha moto na sina mfano
Sina tatizo na waliopanga kunikomoa
Nawasalimu mliosema sitoboa
Mtaani ngoma zina (Hit) mpaka zinaboa
Tena siimbi sana na smoke na kukohoa (Cough)
Mi kioo nitazame ujione
Ukiweza nachofanya hebu fanya tuone
Aidha ufe au upone sina dhihaka hata tone
Na ukijifanya unanijua mi sitaki unione
Sifa za Tembo siku zote huwaga mpole
Ingawa ana siri nzito za Aristotee Lokolee
Yaani ukimuudhi sana atakupa kidole
Hiki cha kati upoo kwa mpoyole
(Oyaa Mi Mtu Mbad)
Yaan wahuni nishaoza nishachanganyikiwa
Wanangu mi mtu Mbaya
Ukijitusu kunichokoza utachangamkiwa
(Oyaa Mi Mtu Mbad)
Eei...
Wanangu mi mtu Mbaya
Eei...
Cough (JESHIII)
Mwenzeni kukuwa kafara situpi nakula mpaka vibudu
(Oyaa Mi Mtu Mbad)
Simuogopi mwanadamu mwenzangu
Mungu ndo nasujudu (Cough)
Wanangu mi mtu Mbaya
Demu unaemuona nyota
Ukilala unamuota
Wahuni tushapiga Uwa galagaza
Siku umemuokota akakuona unasota
Unampiga na picha ndo unamsambaza (Fuck)
(Konde Music World Wide)
Tunda Man na Bakhresa
Eeeh (The Mix Killer)
(Oyaa Mi Mtu Mbad)



Writer(s): Khalidi Tunda


Tunda Man feat. Harmonize - 2022
Album 2022
date of release
22-07-2022




Attention! Feel free to leave feedback.