Young Dee - Bongo Bahati Mbaya Lyrics

Lyrics Bongo Bahati Mbaya - Young Dee



Tuko bongo bahati mbaya tuu
Karibu ulaya
Tuko bongo bahati mbaya tuu
Karibu ulaya
Tuko bongo bahati mbaya tuu
Karibu ulaya
Tuko bongo bahati mbaya tuu
Karibu ulaya
Tuko bongo bahati mbaya tuu
Karibu ulaya
Maisha ndo haya haya sa nitaenda wapi
Bongo bahati mbaya hollywood geti masaki
Usishangae natamba alafu wewe hauna chambi
Me mwembamba ila napiga show za kitambi
Bongo bahati mbaya
Bongo bahati mbaya
Bongo bahati mbaya
Karibu ulaya
Bongo bahati mbaya
Bongo bahati mbaya
Bongo babati mbaya
Karibu ulaya
Tuko bongo bahati mbaya tuu
Karibu ulaya
Tuko bongo bahati mbaya tuu
Karibu ulaya
Wanogopa kusema hii kama mbele
Ila hapa ndo nyumbani napiga misele
Wanaogopa kusepa hapa haina kwere
Ila hapa ndo nyumbani siogopi maseke
Maskin mnyamwezi uliopoteza paspoti
Niko bongo bahati mbaya unyamwezi sio kufosi
Ukiniona kama tozi
Niunguze nije na kikosi
Nimepiga pamba afu sio za kukodi
Bongo bahati mbaya
Bongo bahati mbaya
Bongo bahati mbaya
Karibu ulaya
Tuko bongo bahati mbaya tuu
Karibu ulaya
Tuko bongo bahati mbaya tuu
Karibu ulaya
Haijalishi niko wapi lazima niko happy
Hata ukiwa mwenyewe au niko na washikaji
Haijalishi niko wapi lazima niwe msafi
Niko bongo bahati mbaya ila ndo ivo takwenda wapi
Haijalishi niko wapi lazima niko happy
Hata ukiwa mwenywe au niko na washikaji
Haijalishi niko wapi lazima niwe msafi
Niko bongo bahati mbaya ila ndo ivo nitakwenda wapi
Tuko bongo bahati mbaya tuu
Karibu ulaya
Tuko bongo bahati mbaya tuu
Karibu ulaya



Writer(s): David Alfred Mwanjelwa


Young Dee - Bongo Bahati Mbaya
Album Bongo Bahati Mbaya
date of release
01-05-2017




Attention! Feel free to leave feedback.