ALIKIBA - Sikuoni paroles de chanson

paroles de chanson Sikuoni - ALIKIBA



Yeah... B O B shorobaro
Ooooh haha yeah ooh yeah
Instrunmental
Nakuomba unanitosa wakati mimi sina kosa
Elewa unanichosha mamlaka nitoe posa
Bila wewe siwezi uhai wa kazi gani
Sina hali ya uzima come on
Rudi nyumbani
Angalia mwenzako natokwa machozi ya damu
Unanikatalia sababu mimi sio handsome
Na miss utundu wako na miss pozi zako
Na miss vitu vingi kwangu hakuna zaidi yako
Mummie uuh nilikupa ngazi ya juu
Nilifahamu utatesa moyo wangu
Majukumu nilishachoka kwako vikopa kopa
Njoo unipe mapenzi haah si unaogopa ogopa
Alikiba mi nalia sikuoni mwenzio
Sana nimevumilia aaah
Nielewe mummy njoo
Ukiniona nalia
Naumia wangu moyo
Na baridi naumia aah
Nipe joto Mummy njoo
Alikiba mimi nalia sikuoni mwenzio
Sana nimevumilia aaah
Nielewe mummy njoo
Ukiniona nalia
Naumia wangu moyo
Na baridi naumia aah
Nipe joto Mummy njoo
Nikizungumzia mapenzi alright
Namzungumzia shetani wa mahaba
Asiyependa kumuona Ali Kiba
Akiwa nawe milele mpaka kufa
Lakini sikuonii hii
Mimi nakutafuta mji mzima
Nakutafuta hewani
Nikipiga simu yako unazima Where are you Mummy njoo
Nikudalike kidali poh
Wasaka mmerahaa
Basi njoo tucheze kombolela Wananicheka everyday nalia
Hawajua ninacholilia
Wanasema una Hirizi ya haula
Wananichek nikilia wacha nilieee
Alikiba mi nalia sikuoni mwenzio
Sana nimevumilia aaah
Nielewe mummy njoo
Ukiniona nalia
Naumia wangu moyo
Na baridi naumia aah
Nipe joto Mummy njoo
Alikiba mimi nalia sikuoni mwenzio
Sana nimevumilia aaah
Nielewe mummy njoo
Ukiniona nalia
Naumia wangu moyo
Na baridi naumia aah
Nipe joto Mummy njoo
Ni mazingira mengi wajua
Ninavyohangaika na jua
Kali la mchana lachoma
Akili yangu yote ishanoa
Ni kweli ukizungumzia mapenzi alright
Wazungumzia shetani wa mahaba
Ila kwa penzi lako walilinda
The way unavyofanya unaringa
Lakini sikuoni mi nakutafuta mji mzima
Nakutafuta hewani nikipiga simu yako umezima
Where are you Mummy njoo
Nikudalike kidali poh
Wasaka mmerahaa
Basi njoo tucheze kombolela Wananicheka everyday nalia
Alikiba mi nalia
Alikiba mi nalia
Sikuoni mwenzio
Sana nimevumilia
Nielewe mammy njoo ooh



Writer(s): Unknown


ALIKIBA - Cinderella
Album Cinderella
date de sortie
31-08-2009




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.