Asum Garvey - Tupige Kalap paroles de chanson

paroles de chanson Tupige Kalap - Asum Garvey



Is it cold in here
Or is it just me
Damn deuce
Luigi got the sauce boy
Tupige kalap
Lakini iliturn kukuwa kajourney
Tupige kalap
Mkamba anatembeza mali za mbali
Tupige kalap
Lakini iliturn kukuwa kajourney
Tupige kalap
Mkamba anatembeza mali za mbali
Inakaa ni fictional but ni things that I really know
Not just say it with might and I let em know
Vile tu zilihappen I tell it short
Mi hulost in a story sinanga mob
Hizi abstract nazipaint boss
Mi si the painter methodical
Following who no not at all
I am moving ka sweater ya uniform
Hii si march ni a walk from the physical
Hii ni pillow kwa face that you pitting on
Hii ni take you to Paris you still in Ngong
Hii ni national army in one accord
Hii ni drama natrumble na do it all
Hii ni voice over people don't want em all
Mi nachanganya people like oh my gosh
Never take em to Christ Mulungu more
Silver su no jewelry I'm shining on
Tulipatana jana lakini form
Niko slow on flow on many forms
Mi ni Jada kwa kazi I touch it all
Mawalks napenda nipate road
Ile reverb napenda ni Abbey road
Mi nacheka mapema nipate home
Ukiskia nahema ni tizi mob
Eeeh
Lakini iliturn kukuwa kajourney
Tupige kalap
Mkamba anatembeza mali za mbali
Tupige kalap
Lakini iliturn kukuwa kajourney
Tupige kalap
Mkamba anatembeza mali za mbali
Ni mdogomdogo
Kwa kazi mi sinanga pressure mi sinanga fomo
Ni YOLO
Ndio maana nashinda na form lakini mi no-show
Nadai Range kwa ngoma nafanya
Ishi for long bila kung'ang'ana
Lakini the lie guy kwa hio line
Terry fine now I'm looking at might
I fuck up to Beiber never my eyes
Mi naona great things kwa skies
A leader to be never no mind
Told myself to the wolves to rise
Nasit on a pile moto igniting
Incinerate hizi panya na mice
Ishi kwa fight tembeza kalife
For the freedom mi naweza decide
Tupige kalap
Lakini iliturn kukuwa kajourney
Tupige kalap
Mkamba anatembeza mali za mbali



Writer(s): Malcolm Ogutu Mutiso


Asum Garvey - Shrapper Sum
Album Shrapper Sum
date de sortie
01-06-2021




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.