Boondocks Gang - Sidonyo paroles de chanson

paroles de chanson Sidonyo - Boondocks Gang



Odi wa Murang'a mmmh Kenya
Gang gang, genge la bundoksi
Ah mmmh Utaniua mmmh ah
(Magix Enga on the Beat)
Kila mtu twende match(Ati match)
Forward, forward forward
Kila mtu twende match(Ati match)
Forward, forward forward
Ati atis alert(Alert)
Forward, forward forward
Ati atis alert(Alert)
Forward, forward forward
Sio sidung hii ni sidonyo
Sio sidung hii ni sidonyo
Sio sidung hii ni sidonyo
Iva kimali hadi uishe mihomo
Sio sidung hii ni sidonyo
Sio sidung hii ni sidonyo
Sio sidung hii ni sidonyo
Iva kimali hadi uishe mihomo
Riswa riswa Lejo Maria
Shika mbichwa iteni Maria
Asalam Aleikum nipee tu waria
Kwani Walibora ni Ken wa Maria?
Ati kichwa mbichwa niko na Keziah
Vishwa tishwa nitakujazilia
Mwaga maji nitakunyunyizia
Niko shada bangi ya kupaliliwa
Ati ooi chorea ooooiiii
Ka ni magoe riswa ni roho mtaka (Kitu)
Ati roho mtaka (Kitu)
Ka ni kadonye ni roho mtaka (Kitu)
Ati roho mtaka (Kitu)
Ka ni kaponye ni roho mtaka (Kitu)
Eeeh ati roho mtaka (Kitu)
Kila mtu twende match(Ati match)
Forward, forward forward
Kila mtu twende match(Ati match)
Forward, forward forward
Ati atis alert(Alert)
Forward, forward forward
Ati atis alert(Alert)
Forward, forward forward
Sio sidung hii ni sidonyo
Sio sidung hii ni sidonyo
Sio sidung hii ni sidonyo
Iva kimali hadi uishe mihomo
Sio sidung hii ni sidonyo
Sio sidung hii ni sidonyo
Sio sidung hii ni sidonyo
Iva kimali hadi uishe mihomo
Gota na right left iko kwa nunu
Piga bangae shukisha na kanuthu
Odi wa Ngwai na nywele napaka mulu
Baba Nyasae, wakamba humuita Mulungu
Cheki, sasa ni wakati
Wa kujikuna kuna
Kila mtu ajikune
Kwenye unawashwa
Cheki kuna mgongo, kuna magoti
Hebu kuna kuna
Kuna mgongo, kuna magoti
Hebu kuna kuna
Ka ni jaba nadai kushika kashamba
Alafu zikishika shika kitanda
Lamba na shada ni dimanga
Cheki Wanja hatosheki toka jana
Mashashola zimeriet mganga
Kuwakata nitakam na dagger
Utafyatu ka omena ni dagaa
Bobo shatta utajua ni banger
Niko na dikwa rangi zote ni machwaa
Ameigiza kamote ashikwe na kichaa
Omera Otis kwani wewe ni mbuta?
Ameganda amepakwa mafuta
Share



Writer(s): Edward Kimachu Irungu, Francis Macharia, Tony Kinyanjui


Boondocks Gang - Sidonyo - Single
Album Sidonyo - Single
date de sortie
29-02-2020




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.