Harmonize - Kidonda Changu paroles de chanson

paroles de chanson Kidonda Changu - Harmonize



Instrunmental
Mazuu on the beat
Uuuh uuh uuh uuh
Yale maneno matamu nikafikiri nyota njema mara asubuhi asubuhi moyoni
Akumiminia yale ya sumu akusudia kunichoma bali sijui sijui kisa ni
Nimeamini penzi penzi zigo la mwiba ishanichoma na kunipofua
Moyo moyo
Bila ye siwezi mwenzenu napata shida
Kama ni sina kinauma kidonda changu
Kitachelewa kupona kitachelewa chelewa sema kitachelewa sweety×2
Ya rabi moyo wangu
N
Yale mahaba ninyonge nitaya miss sana siunajua
Unafanya nikonde shilingi sina ningenunua
Umenipora ata tone ingali sivyo na utaniua
Ningekunywaga na pombe ila kichwa si nitazimia
Nimeamini penzi penzi ni zigo la mwiba ishanichoma na kunipofua
Moyo moyo
Bila ye siwezi mwenzenu napata shida
Kama ni sina kinauma kidonda changu
Kitachelewa kupona Kitachelewa chelewa sema Kitachelewa sweety×2
Ya rabi moyo wangu
Mmh
Tena sipati usingizi ai moyo
Ata kula siwezi ai moyo
Niruhusu niwe chizi ai moyo
Yote kisa mapenzi ai moyo
Mazuuu
Harmonize




Harmonize - Kidonda Changu
Album Kidonda Changu
date de sortie
19-05-2018




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.