Harmonize - Nishachoka paroles de chanson

paroles de chanson Nishachoka - Harmonize



Yeah! Mmh mmh mmh mh
Yeah (Ayo lizer)
Kila chenye marefu na mapana
Huwaga hakikosi mwisho (oh mwisho)
Mmh! Yanini kurumbana
Kukicha bila suluhisho (oh ooh)
Huenda kisicho ridhiki hakiliki
Sasa yanini tutoane roho
Nimepungukiwa kipi mbona naishi
Sina ata jiba la roho (ooh)
Na ule utwana wa mapenzi
Kushindana mi na wewe
Niliuvumilia na sijaona tama
Sio kama siwezi kupata alie zaidi ya wewe
Ila hii dunia na najichunga sanaal
Tena naandika huu wimbo
Usijpe moyo labda nakufikiria
Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo
Ukome kunifatilia
Naandika huu wimbo
Usijipe moyo labda nakuwaza sana
Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo
Ukome kunilili (eeh)
Nishachoka
Nishachoka
Nishachoka
Wacha ukweli nikwambie
Yani kukicha vijembe (nishachoka)
Dharau maneno (nishachoka)
Ooh! Masimango (nishachoka)
Wacha ukweli nikwambie (nimechoshwa nawe)
Mmmh Aiih! Kila donda lina historia
Badala ya moto majivu
Mangapi niliyavumilia
Hadi nkakonda kwa wivu
Kidogo cha jasho langu
Ulikidharau nakukinyanyasa
Utu thamani yangu
Ukasahau kisa anasa
Afadhali mimi nishakuzoea
Dharau mama yangu hajakukosea
Huwaga navuta taswira
Ule utumwa wa penzi lako
Mpaka najiona taira
Kuyahifadhi mabaya yako
Muchimjinga pedi
Namatilapa nikapendwa
Upepo kwenye begi
Au maji ndani ya tenga
Tena naandika huu wimbo
Usijipe moyo labda nakufikiria
Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo
Ukome kunifatilia
Naandika huu wimbo
Usijipe moyo labda nakuwaza sana
Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo
Ukome kunilili (eeh)
Iye iyeee nimechoshwa nawe (minishachoka)
Nishachoka (siwezi)
Nishachoka (ooh siwezi)
Wacha ukweli nikwambie (acha nikueleze)
Kukicha vijembe (nishachoka)
Dharau maneno (nishachoka) (nikueleze)
Ooh! Masimango (nishachoka) (nikueleze)
Wacha ukweli nikwambie (nimechoka nawe)
Woo oh uwoo wo oh wooh
Woo oh uwoo wo oh wooh
Nimechoka nawe
Nasda, wasafi record's



Writer(s): Tresor


Harmonize - Nishachoka
Album Nishachoka
date de sortie
14-12-2017




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.