Isha Mashauzi - Vimba paroles de chanson

paroles de chanson Vimba - Isha Mashauzi



Wahenga walisema penzi la mea penye penzi tuendelee kupendana japo
Wapo wanaoumia sasa naiona sasa naiona thamani ya mapenzi kwako mimi
Kwako nimedidimia penzi letu tulienzi hata kwa ugali na bamia
Tubembelezane kwa tamu tenzi hata tunapoikosa mia vimba
Mpenzi vimba jidai mpenzi vimba aanh tamba mpenzi vimbaaaaaa vimba.
Vimba mpenzi wangu enh vimba jidai baby wangu vimba tamba mpenzi
Wangu wee vimbaaaa vimba wapo wanaokejeli chaguo langu mamaaaaa
Ukitazama walipo wao ni vituko furaha furaha imetawala kwangu wao
Kila siku misukosuko wanajijaza masusu kwa mambo yasowahusu tuzipuuze
Zao figisu vikwazo tusiruhusu vimba mpenzi vimba jidai mpenzi vimba
Anh tamba mpenzi vimbaaaa vimba vimba mpenzi wangu eeh vimba
Jidai baby wangu enh vimba tamba mpenzi wangu enh vimbaaaaa vimba.
Tupendane kwa hali na mali babaaaa tusiwe kama maneke na mandawaaaaa
Yeeeee maadui wapambane na zao hali sie malavidavi malavidavi kama
Kawa anhh subira huleta kilichombali kipendacho moyoni dawa eeeeeee
Mwaiona eee mwaionaa bendera yetu yapepeaaa mwaiona
Safar yetu yaendelea mwaiona chuki zao twazipotezea mwaiona
Vimba mpenzi vimba jidai mpenzi vimba tamba mpenzi vimba vimba
Mpenzi wangu vimba jidai baby wangu
Vimba tamba mpenzi wangu vimbaaaa vimba



Writer(s): Isha Ramadhani


Isha Mashauzi - Vimba
Album Vimba
date de sortie
27-07-2019

1 Vimba




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.