Jua Cali - 12.Maswali Kibao paroles de chanson

paroles de chanson 12.Maswali Kibao - Jua Cali



Maswali kibao Maswali kibao Eeeeeeeeh!!!
Maswali kibao Chali yangu we ni mbigi utembea aje tao?
Naskia we ni mjanja uliamua kujenga aje hao?
Besides ngoma mtu wangu we ufanya nini?
Masiku zinaenda chali yangu utaoa lini?
Naskia ukihama we upitia watu mtaani?
Unajuana sana unaeza nisaidia kupata kazi?
Unaskuma gari gani mtu wangu nikikualika utakuja birthday yangu?
Karibu kejani unapiga makali ama keg
We uingiza baridi kabla upande stage?
Kwa nini unaspell jina yako hivyo?
Unaongea mtu wangu kwa nini we uroga hivyo?
Maswali kibao Maswali kibao Eeeeeeeeh!!!
Maswali kibao Unaongea sheng sana unajua kizungu kweli?
We si mtu wa kawaida we uskia njaa kweli?
Besides ngoma zako we huskiza nani mwingine?
Unacheka sana we ukasirika saa zingine?
We udeal aje na stress mtu wangu We udeal aje na ma groupie mtu wangu
Vitu zako zimekubali we hushukuru Mungu We ukumbuka zile siku zilikua
Ngumu Kenya kubwa we ni kabila gani Mungu mkubwa unafuata dini gani
We ni mwanaume kwa nini unafuga nywele hivyo Ni siri gani
Unatumia kukaa kwa industry hivyo
Maswali kibao Maswali kibao Eeeeeeeeh!!!
Maswali kibao Ulipanda matatu mwisho siku gani Clemo ye ukua chini ya
Maji ye ni mtu design gani Genge inamaanisha nini chali yangu Ulifuta
Msoto siku gani chali yangu Ulitoa wapi roho ya kuperform mbele ya
Watu wengi Na ka hauperform we udunda wapi weekendi Unajulikana sana
We hutembea na id yako Fan ja mimi unaeza mkaribisha kwako Dishi gani
Inakubamba kabisa Ngoma gani yako inakubamba kabisa we uenda ocha
Kweli kucheki wazazi Na una feel aje kukua
JUACALI Maswali kibao Maswali kibao Eeeeeeeeh!!!
Maswali kibao




Jua Cali - Mali Ya Umma
Album Mali Ya Umma
date de sortie
12-09-2019




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.