Kidum - Telenovela paroles de chanson

paroles de chanson Telenovela - Kidum



Hehe he Cedo
Ona wamefanikiwa kututenganisha mimi na wewe!
Yote ulioambiwa yamekupotosha mpaka sasa hunipendi
Jua langu limepotea naona giza ingawa mchana
Ukiwa mbali sijazoea my sweetie Stella mum nataka urudi home
Mapenzi ya kolekolela nimechorea nipe chance nirudi kwako
Tukiwatch telenovela zinanichocha natamani urudi home
(Moyoni mwako eee
Mikononi mwako wee
Moyoni mwako eee
Nifungulie roho)2
Moyoni mwako eee nifungulie roho 2
Mbona hukutosheka kila ulipewa ulisema ni kidogo
When I gave you all I had,
Ndio maana sielewi mbona you're leaving me alone
Nimejaribu kukuelezeaaa
Kile unasema nasema tu uwongo
Aloniroga naomba tuongee sasa my sweetie Stella mum nataka urudi home
Mapenzi ya holeholela aaah,nimechorea nipe chance nirudi kwako
Tukiwatch telenovela zinanichocha natamani urudi home
(Moyoni mwako weee
Mikononi mwako wee
Moyoni mwako wee
Nifungulie roho)2
Moyoni mwako wee nifungulie roho
Moyoni mwako wee,mikononi mwako wee,moyoni mwako wee nifungulie roho.



Writer(s): Pierre Nimbona


Kidum - Nipe Nguvu
Album Nipe Nguvu
date de sortie
20-11-2018


Charger plus...
Исполнитель Kidum, альбом Abatovyi
2019
Исполнитель Kidum, альбом Nidate
2018
Исполнитель Kidum, альбом Hadi Kifo
2018
Исполнитель Kidum, альбом Ishano
2006
Исполнитель Kidum, альбом Ishano
2004
Исполнитель Kidum, альбом Yaramenje
2000
tous les albums


Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.