Lady Jaydee - Lololo (feat. Domokaya) paroles de chanson

paroles de chanson Lololo (feat. Domokaya) - Lady Jaydee



Wacha we lololo, wacha we wacha hizo
Wacha we lololo, wacha we wacha hizo
Usije ukome mi sio kipofu
Machale kunitesa michael dudi kofi
Niwafuete nidondoke nusu mahututi
Nife mlie machozi bandia mnivishe suti
Jeneza shimoni mpige tepe mmwage kifusi
Hihihi komando hafi kizushi
Nilishtuka nikajuti nikagundua mna chuki
Jinsi mambo imezidi mi sifuati mamluki
Nakaza hata ikibidi kufunga mgwiji chupi
Nina heshima kubwa street wasije kuniona stupid
I got so flat ng'a bora nilale njaa
Hamlipi nyinyi mnaniita tuje tukeshe bar
Kila saa niwalambe miguu niombe msamaha
Ni sawa mtu mzima arudie utotoni kutambaa
Siji uko? Nasubiri mtashangaa
Hili ni dege la jeshi fuga naga bado mnapaa
Nawaambia siji uko, siji uko
Hata kama nitapotea
Nawaambia siji uko, siji uko
Hata kama nitapotea
Wacha we lololo, wacha we wacha hizo
Wacha we lololo, wacha we wacha hizo
Komando Jide roho ya chuma
Hii ni Mungu amepanga
Kutikisa huu mwamba
Inabidi kujipanga
Wanataka nife kifo cha mapanga
Nawaambia siji uko, siji uko
Hata kama nitapotea
Nawaambia siji uko, siji uko
Hata kama nitapotea
Mimi sirudii, wala sipitii
Njia hio yenye miiba
Kamwe sijutii na sifikirii
Kukalia tu ujinga
Nasema leo na iwe mwisho
Singoji kesho nifikwe nifikwe umautii
Nishasema siji huko hata ningefuata nini huko
Mbona hapa nilipo safi, panatosha sina majuto
Nilipotoka ni mbali mno, nilipotoka ni mbali mno
Wacha we lololo, wacha we wacha hizo
Wacha we lololo, wacha we wacha hizo
Wacha we lololo, wacha we wacha hizo
Wacha we lololo, wacha we wacha hizo



Writer(s): Judith Wambura Mbibo


Lady Jaydee - 20
Album 20
date de sortie
12-02-2021




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.