Masauti - Niwe Nawe paroles de chanson

paroles de chanson Niwe Nawe - Masauti



Ooh, ooh yeaaah
Masauti ii R. K Mwana Abuja
Sijawai pata mrembo kama wewe(Aaah)
Basi usijeleta vineno unizengue(Aaah)
Sherry si unajua ninavyokupenda
Tena si unatambua, tulipotoka far
Sherry si unajua ninavyokupenda
Tena si unatambua, tulipotoka far
Nataka unipe nipe, mapenzi ya kweli
Usinizengue niumie
Nataka niwe nawe
Nataka niishi nawe
Nataka niwe nawe
Wangu my beiby(Aaah)
Nataka niwe nawe
Nataka niishi nawe
Nataka niwe nawe
Wangu my beiby(Aaah)
Upendo, wako tofauti na wengine
Maskendo sijaona toka niwe na wewe
Upendo, wako tofauti na wengine
Maskendo sijaona toka niwe na wewe
Mmmh my beiby
Nipe busu masiri waumie, (tena mdomoni)
Mapenzi yetu yazidi, (tuyaridhie)
Nataka unipe nipe, mapenzi ya kweli
Usinizengue niumie
Nataka niwe nawe
Nataka niishi nawe
Nataka niwe nawe
Wangu my beiby(Aaah)
Nataka niwe nawe
Nataka niishi nawe
Nataka niwe nawe
Wangu my beiby(Aaah)
Nataka niwe nawe
Nataka niishi nawe
Nataka niwe nawe
Wangu my beiby(Aaah)
Nataka niwe nawe
Nataka niishi nawe
Nataka niwe nawe
Wangu my beiby(Aaah)
Moyo utaniuma, nisipokuona mama
Moyo utaniuma ah, nisipokuona mama
Ndio maana nataka niwe nawe eeh
Ndio maana nataka niishi nawe eeh
Oooh...
Nataka niwe nawe
Nataka niishi nawe
Nataka niwe nawe
Wangu my beiby(Aaah)
Nataka niwe nawe
Nataka niishi nawe
Nataka niwe nawe
Wangu my beiby(Aaah)
Nataka niwe nawe
Nataka niishi nawe
Nataka niwe nawe
Wangu my beiby(Aaah)
Nataka niwe nawe
Nataka niishi nawe
Nataka niwe nawe
Wangu my beiby(Aaah)
Niwe na wewe
Niishi na wewe
Niwe na wewe
Niishi na wewe
Niwe na wewe



Writer(s): Dream Nation


Masauti - Masauti
Album Masauti
date de sortie
09-04-2019



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.