Nadia Mukami feat. Sanaipei Tande - Wangu paroles de chanson

paroles de chanson Wangu - Nadia Mukami



Hey, (hmm), Sanaipei
Hey, Nadia
(Alexis on the beat)
Wewe nani?
Unanipigia simu kama nani?
Eti niachane na mume wako nani?
Unajua Nadia kweli mi ni nani?
Weh ni nani?
Unampigia simu kama nani? Eeh
Ata utoe vya ndani, atarudi hapa kwangu tu nyumbani, eeh
Anapenda vidogodogo, mwenzako ana vimumunya (munya)
Mwanamke unapenda zogo
Tafuta jambo hilo la kufanya (fanya)
Oh, ni wangu
Huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
Kubali yaishe, ni wangu
Oh, ni wangu
Huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
Mwishowe yataisha, ni wangu
Hivyo vimeseji na kuficha simu havinishtui (oo-wee)
Atachoka nawewe (eh), pengine aende (eh), yule hakagui (oo-wee)
Kelele ya chura haizuii ng'ombe kunywa maji
Kwangu habanduki
Kwako hatoboki, nakwama na yeye (kwama na yeye)
Anapenda wife-material, mwenzako anakudanganya (danganya)
Mwanamke una kasoro (weh)
Tafuta jambo hilo la kufanya (kufanya)
Oh, ni wangu
Huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
Mwishowe yataisha, ni wangu
Oh, ni wangu
Huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
Kubali yaishe, ni wangu
Mi sitakoma, koma, koma, koma
Mi sitakoma, koma, koma, mama, eeh
N'takukomboa, komboa, komboa, komboa
N'takukomboa, komboa, komboa, msichana, weh-ayy
Oh, ni wangu
Huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
Mwishowe yataisha, ni wangu
Oh, ni wangu
Huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
Kubali yaishe, ni wangu
Oh, ni wangu
Huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
Mwishowe yataisha, ni wangu
Oh, ni wangu
Huyu nasema, ni wangu
Oh, ni wangu
Kubali yaishe, ni wangu




Nadia Mukami feat. Sanaipei Tande - African Popstar EP
Album African Popstar EP
date de sortie
12-10-2020




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.