Nandy - Kivuruge paroles de chanson

paroles de chanson Kivuruge - Nandy



Ooah oooh mmmh
Ringtone on this beat
Uliyenipa maumivu mi kama nyang′au
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge
Kwa marafiki, mashosti unakanidharau
Ukanitia uvivu, stress niwe mnyonge
Hoh oah
Uliyenipa maumivu mi kama nyang'au
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge
Kwa marafiki, mashosti unakanidharau
Ukanitia uvivu, stress niwe mnyonge
Leo sina thamani, ndo maana
Unawafuata milupo ohh baba
Leo sina thamani eh ndo maana
Unawafuata milupo oh baba
We niache
Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (we niache)
Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama)
Nitapona mdogo mdogo (ooh) nitapona
Ooh oaaah ooh ooah
Mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi
Hata zawadi nikikuletea hausemi ahsante
Tena nashare hata bila kujua we huridhiki kwa nini
Na wakati nilijisumbua mwenzangu usiwaze
Wangu moyo we unauchanganya ah
Umekua kivuruge unavuruga sana baba we
Kitu gani kwako mi sijafanya eh eeh
Ama kuna mtu mnapendana sana
Leo sina thamani ndo maana
Unawafuata masista du oh baba
Leo sina thamani eh ndo maana
Unawafuata masista du oh baba
We niachee
Nitapona mdogo (niache we) mdogo nitapona (niachee)
Nitapona mdogo (niache) mdogo nitapona (ntapona kidogo kidogo)
Nitapona mdogo mdogo (ooh) nitapona (ntapona mimi)
Nitapona mdogo mdogo (niache we) nitapona
Aiyoyoyo aiyoooh ooh
Ringtone on this beat



Writer(s): Nandy


Nandy - Kivuruge
Album Kivuruge
date de sortie
25-11-2017




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.