Ruste Juxx feat. General Steele - BCC Official paroles de chanson

paroles de chanson BCC Official - Ruste Juxx feat. General Steele



JUX
Bora nikose pesa Mali (pesa Mali)
Nyumba gari (nyumba gari)
Niwe nawe
Nifanye kazi bila salary (bila salary)
Yote heri (yote heri)
Niwe nawe
Ninavyotaka niwe nawe
Hawapendi tuwe nielewe
Ninavyotaka niwe nawe I wish ujuee
Kama vipi sema mamy kipi nikufanyie unipende nikupende milele uwe namie
Kama vipi sema mamy kipi nikufanyie unipende nikupende milele uwe namie
Am looking for you uuuuuuuu oh uo oh uo
Looking for youuuuuuuuu oh uo oh uo ehh
Ndoto yangu ipo siku nitakuwa nawe
Naniimani nitaweza nitashinda penzi lako
Ntampenda nani kama sio wewe ntamtaka nanii kama sio weee
Ntampenda nani kama sio wewe
Ntamtaka nani kama sio weee
Kama vipi sema mamy kipi nikufanyie unipende nikupende milele uwe namie
Kama vipi sema mamy kipi nikufanyie unipende nikupende milele uwe namie
Am looking for you uuuuuuuu oh uo oh uo
Looking for youuuuuuuuuuu oh uo oh uo
JOH MAKINI
Yeah
Ni aina gani ya juu juu is this
Macho juu juu is this macho juu juu Sina ubishi
Roho juu juu mikono juu juu
Nimesalimu amri nakuhakikishia tafsiri ya maneno kwa vitendo
Hakuna maneno nimekwiva nipe kitengo
Niache kushika tama nisimame nikushike salama
Nisikupige mtama nikuvute ka kuku kwa mtama
Zote ziko kwa molana uumbaji huu sioni kasoro bwana
Kupendana nikulindana kwa kila kesi nifanye dhamana dhamana
Agana nakaire kona utafananami naona
Utafanya nami ntapona
Ubovu wa mapenzi ntaona
Napoona ni raha nabonas
Itika basi nitulie nafsi bonus
Am looking for you uuuuuuu oh uo oh uo
Looking for you uuuuuuu oh uo oh uo ehh
{By Seif Islam}



Writer(s): D. Yates Jr.


Ruste Juxx feat. General Steele - Adamantine
Album Adamantine
date de sortie
14-09-2010



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.