Shetta - Bonge La Toto paroles de chanson

paroles de chanson Bonge La Toto - Shetta



Okey uh, toto shape toto guu guu Kila
Unapopita watu macho juu juu Baby ka umebeba kichuguu
Alafu chuchu ndogo kama vichuguu
Haha, enjoy kuwa na mimi ma Mwili wako
Nifunike na madini ma Safari ya angani na majini ma
Mi ndio king we ndio queen ma
Have it baby pie, my baby bi millionare
Vikao vyangu mawaziri na ma mayor
Zinaletwa ndoa mmezifill ma
Bellaire Matumizi bei juu na bill tunagombea
Shoga zako unawatesa Hawapendi kukuona na Shetta
Tunavyozitumia pesa Enjoy baby wala wasikupe pressure
Okey, bonge la toto mama
Wanipa vyote we ni bonge la toto mama
Chii, bonge la toto mama Nakupenda zaidi, we ni bonge la toto mama
Mami mi ni billionaire Nifilisi hadi nirudi kwenye u millionaire
Tafuta ki ben 10 ukihonge Ila nikikifuma aisee kisiombe
Jua nakuzimia ma
Nataka tuzunguke hii dunia ma Pesa kuzitumia ma
Tusisahau Serengeti
Tanzania ma
Tukacheki nyati na swara
Pesa nyingi baby wala sipati hasara Ikibidi
Ita na wenzako Maana huwezi kumaliza peke yako
Shoga zako unawatesa Hawapendi kukuona na Shetta
Tunavyozitumia pesa Enjoy baby wala wasikupe pressure
Okey, bonge la toto mama Wanipa vyote we ni bonge la toto mama
Chii, bonge la toto mama Nakupenda zaidi, we ni bonge la toto mama
Bonge la toto mama
We ni bonge la toto mama
Bonge la toto mama
We ni bonge la toto mama.



Writer(s): Nurdin Bilal


Shetta - Bonge La Toto - Single
Album Bonge La Toto - Single
date de sortie
13-09-2019




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.