Shetta - Namjua paroles de chanson

paroles de chanson Namjua - Shetta



Namjua namjua namujua namjua
Namjua namjua namjua namjua
Kuwa nae paradiso mie nae hu hai adi kifo kama babu na kiko niko nae toka nauza siso akitembea lawa namjua uko n nyuma danadana namjua
Iwe kokwa iwe ganda aki nipa na jilamba ana vyo li cheza ilo vanda shughuli kwenye kitanda
Ayelelee ayelele ayelelelee
Mwenye kishepu kidogo namjua
Namjua mwendo wake wakidogo
Namjua sura kama mtoto mdogo namjua namjua
Utamu wa embe dodo namjua namjua
Na mshusha chombo eeh! ajede dede
Aje! dede



Writer(s): Nurdin Ally Bilali


Shetta - Namjua - Single
Album Namjua - Single
date de sortie
12-10-2016

1 Namjua




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.