Shetta - Nidanganye paroles de chanson

paroles de chanson Nidanganye - Shetta

We bora nidanganye danganye danganye tuu
Ukinambia ukweli ntaumia
Hata nikikukuta chumbani mtupu umekombatiwa
We bora nidanganye danganye danganye tuu
Ukinambia ukweli ntaumia
Si unajua kwako sijiwezi me siwezi ntalia
Baby nakupenda ndio sikliza moyo wangu unavyokwenda mbio (yaani kasi)
Usinipe wasiwasi nighaasi ila ukinitenda sio
Nakutaka wewe tu baby boo haya
Nidanganye tuu uwe true lier
Ila ni vbaya ukinitupa kwenye fire
Nipige kama kinanda na me niimbe kama kwaya
Kitaa kuna tetesi eti machizi kibao wanakuona mwepesi
Sihitaji ukweli baby pliiz
Sitanuna hata nikikufuma na KGT
Niambie kaka yako tu basi
Love linanipa stimu kama nyasi
Japo nipo fit kama nyati
Kwako sitaki vita nipo peace mpaka basi
We bora nidanganye danganye danganye tuu
Ukinambia ukweli ntaumia
Hata nikikukuta chumbani mtupu umekombatiwa
We bora nidanganye danganye danganye tuu
Ukinambia ukweli ntaumia
Si unajua kwako sijiwezi me siwezi ntalia
Hekima na busara zishakumba fikra zangu
Hisia zikitawala sifichi kama utupu wangu
Uje unikombate upokee zawadi zangu
Kiss sio lazima danganya mashavu yangu
Eeh ukweli unauma na nikijua moyo itauma
Fanya siri kama unaiba mali ya umma
Na nikistuka nidanganye danganye tu kiaina
Kwako nmefeel aas me mpofu
Nimezama kwenye hiki kina kirefu
Nmetokea Tanga na haya mahaba usinichukie
Nataka unikosehe mamushika nijickie
Njoo nidanganye mpaka wanangu waniaminie
Kama unanimis njoo maskani uniulizie
Japo wajanja wanakata tu dau
Kukubali sio mbaya ila usinisahau
Niigizie angalau ingawa nyuma ya pazia madharauu
Niigizie angalau ingawa nyuma ya pazia madharauu
We bora nidanganye danganye danganye tuu
Ukinambia ukweli ntaumia
Hata nikikukuta chumbani umekombatiwa
We bora nidanganye danganye danganye tuu
Ukinambia ukweli ntaumia
Si unajua kwako sijiwezi me siwezi ntalia

Writer(s): Shetta

Shetta - Nidanganye
Album Nidanganye
date de sortie
16-11-2015

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.