Ben Pol - Bado Kidogo текст песни

Текст песни Bado Kidogo - Ben Pol



Jua likichomozo mambo yangu hayaendi
Na likizama ndo hivyo hivyo
Nami kukaba siwezi
Shida zimezidi nauona mlango wa kaburi
Naipunguza speed huku naisoma zaburi
Malaika afungue kufuli
Adhuhuri kinga bakuli
Bado kidogo atustiri kwenye kivuli
Mwezimungu si alituumba kwa mfano wake
Hivyo basi na sisi tunaomba kila mmoja na hatma yake
Tuondokane na hizi kasumba za ooh mi nimetoka kayumba
Shikilia ulipo shika humchango ndo chanzo cha maarifa
Maamuzi yanahitajika
Uvumilivu unahitajika
Pasikua kujikwamua
Kesho haito badilika (bado kidogo)
Kunamuda mambo yanashindwa kwenda
Kuna muda mwanga huoni ni giza
Kuna muda aah aah unashindwa (usikate tamaa)
Uko hapa kwa sababu baba hataki upate taabu
Uko hapa kwa sababu uuuh uhhh bado kidogo
Ooh bado kidogo (bado kidogo)
Ooh bado kidogo (bado kidogo)
Ooh bado kidogo (bado kidogo)
Ooh bado kidogo (bado kidogo)
Ooh bado kidogo (bado kidogo)
Ooh bado kidogo (bado kidogo)
Ooh bado kidogo (bado kidogo)
Usife moyo (bado kidogo)
I know it′s painful watu wanapokuita failure
Pain all the way ndoto flani umecarier
Maneno vikwazo na chuki
Watasema hamnazo mnanuksi
Umekosa karo ya swhule unashindwa utamlilia nani we
Umekosa hata chakula unashindwa utamuomba nani
But ngoja kidogo (Usivunje moyo, bado kidogo)
Ukishajua nini unataka nini chahitajika ukipate
Kamilisha mahitaji kisha kifuate
Nakughairisha kisa hupati sapport
Nikujificha na kuuliza giza iko wapi ile tochi
Bado najipa moyo kutoka moyoni
The time is coming
Nifanye kazi kwa bidii na nisubiri kidogo
Ooh bado kidogo (bado kidogo)
Ooh bado kidogo (bado kidogo)
Ooh bado kidogo (bado kidogo)
Ooh bado kidogo (bado kidogo)
Ooh bado kidogo (bado kidogo)
Ooh bado kidogo (bado kidogo)
Ooh bado kidogo (bado kidogo)
Usife moyo (bado kidogo)
Ooh bado kidogo
Hey bado kidogo
Hey bado kidogo
Bado kidogo
Ooh bado kidogo (Bado kidogo) (yakupasa upige moyo konde)
Ooh bado kidogo (Bado kidogo) (Usikate tamaa ohh bado kidogo bado kidogo)
Ooh bado kidogo (Bado kidogo) (You are almost there you are almost there)
Ooh bado kidogo (Bado kidogo) (Usirudi nyuma eeeh)
Ooh bado kidogo (Bado kidogo) (eeeh)
Ooh bado kidogo (bado kidogo) (uuuuh)
Usife moyo (bado kidogo) (you are almost there)



Авторы: Ben Pol


Ben Pol - Bado Kidogo 2
Альбом Bado Kidogo 2
дата релиза
20-03-2018




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.