Harmonize - Mpaka Kesho текст песни

Текст песни Mpaka Kesho - Harmonize



Hello, Hello baby
Mmmh mmmh
Natamani niandike barua na niitume kwako
Ilanahisi hutaisomaa, utaikataa
Hata simu nitajisumbua, kupiga namba yako
Maana hata ukiiona utaikata
I wish yawe ndoto, haya ninayo yapitia
Ama nirudi utoto imenisonga dunia
Eti kurwa bila ndoto, hivi ni wapi ntaanzia?
Kulia bila kushoto, sijawai kusikia
Eeh, imagine siwezi kukuota (Aaah aah aah)
Maana ata usingizi sina (Sinaa)
Mwenzako wataniokota (Aaah aah aah)
Maji yamenizidi kina (Mwenzenu mimi)
Mpaka kesho, eeh eeh
Mpaka kesho, umeniganda mawazoni
Mpaka kesho, bado nakuwazaa
Mmh mmh eeh
Yaani mawazo kizunguzungu (Mpaka kesho)
Insta napaona pachungu (Mpaka kesho)
Mateso nihurumie, bado nakuwaza
Nishajaribu kudanga nipoteze mawazo
Huenda nitaenjoy
Kumbe najivua utu na heshima
Kwa watabibu waganga
Nijue nini chanzo, mwenzako nipo hoi
Ama nyota yangu butu, makali sina
Eeeh, zile nadhiri
Kwamba utaniweka moyoni zinajirudia
Mie ndio moja we mbili
Mbona sasa sikuoni, umenikimbia
Mie mwenzako ka sabuni kichelema
Siezi ata kupangusa ah ah
Jeraha la penzi nachechema
Sina furaha ata ya kunusa ah ah
Yaani umeniacha dillema
Siwezi kupanda kushusha ah ah
Yaani mapenzi vitaa, CCM na Chademaa
Firauni na Musa ah ah
Eeh, imagine siwezi kukuota (Aaah aah aah)
Maana ata usingizi sina (Sinaa)
Mwenzako wataniokota (Aaah aah aah)
Maji yamenizidi kina (Mwenzenu mimi)
Mpaka kesho, eeh eeh
Mpaka kesho, umeniganda mawazoni
Mpaka kesho, bado nakuwazaa
Mmh mmh eeh
Yaani mawazo kizunguzungu (Mpaka kesho)
Insta napaona pachungu (Mpaka kesho)
Mateso nihurumie, bado nakuwaza
Wa kumove on nitakuwa mie (Ooh siwezi)
Yaani ipite siku nisikufikirie (Ooh siwezi)
Kuku unfollow nitaweza mie? (Ooh siwezi)
Kwenye page yako nisichungulie eeh (Ooh siwezi)
(The Mix Killer)



Авторы: Tresor


Harmonize - Afro East
Альбом Afro East
дата релиза
14-03-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.