Jua Cali - 4.Vile Naskia (feat. Wyre) текст песни

Текст песни 4.Vile Naskia (feat. Wyre) - Jua Cali



Vile nahisi nikimwona, najua nina mali
Wakituona wauliza mbona, mbona hatukosani?
Nishampata, mpata, mpata yule
Ashanipata, nipata, nipata mie
Nimekuwa naget feeling flani noma
Nimekuwa naskia roho yangu ikigonga
Nikikuona naskia fiti
Tukiongea jo siamini
Uliamua aje kunikubali
Mtoto wa kibabe na me mtu wa mtaani
Kiswahili ngumu lakini tunaelewana
Kizungu ngumu lakini tunaskizana
Pole pole tunazidi kupendana
Vita kwa wingi na bado tunasameheana
Nani angefikiria ingekua hivi
Baada ya miaka saba na bado uko na mimi
Wacha waongee watanyamaza
Wacha wabonge watalala
Mi nakuambia hawajui vile we unaskia
Na hawajui vile mi naskia
Vile nahisi nikimwona, najua nina mali
Wakituona wauliza mbona, mbona hatukosani?
Nishampata, mpata, mpata yule
Ashanipata, nipata, nipata mie
Ukiumwa na kichwa mi ndio dawa
Tuliza usibebe vitu mzito sana
Leo siku yako wacha ikubambe
Wacha kila kitu isimame
Simu inalia ambia boy atulie
Alisharushwa atafute mwengine
Leo napitia Mathako tumsalimie
Mbuyu baadaye tumskizie
Usisahau kuvaa zile viatu noma
Usisahau nitaku-massage ukichoka
Usisahau huku nje kuna manyoka
Na usisahau wakitusumbua tunawatoka
Wacha waongee watanyamaza
Wacha wabonge watalala
Mi nakuambia hawajui vile we unaskia
Na hawajui vile mi naskia
Vile nahisi nikimwona, najua nina mali
Wakituona wauliza mbona, mbona hatukosani?
Nishampata, mpata, mpata yule
Ashanipata, nipata, nipata mie
Shida zikikutafash we niambie
Hata ka ni noma aje usinyamazie
Ukifunga mdomo utashiba aje
Ukifunga maskio utaskia aje
Naona tuanze kuishi pamoja
Na watoi ka fifteen wakikimbia kwa boma
Lakini kabla hiyo pete kwa mkono
Halafu nakupanguza machozi na mkono
We endelea kulia ukitaka
We endelea kunishikilia ukitaka
We endelea usione haya
Na we endelea hata ka wanatuangalia sana
Wacha waonge watanyamaza
Wacha wabonge watalala
Mi nakuambia hawajui vile we unaskia
Na hawajui vile mi naskia
Vile nahisi nikimwona, najua nina mali
Wakituona wauliza mbona, mbona hatukosani?
Nishampata, mpata, mpata yule
Ashanipata, nipata, nipata mie
Yule...



Авторы: paul nunda


Jua Cali - Mali Ya Umma
Альбом Mali Ya Umma
дата релиза
12-09-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.