K2ga - Hawataki текст песни

Текст песни Hawataki - K2ga



Instrunmental
Sijutii moyo wako juu ya Mimi ndo chaguo lako
Nakupenda nakujali amini baby ooh
Unaposikia mabaya yakisemwa kwamba nakuchit sikupendi
Ninawanawake wengi Sana ooooh oooh Sanaa oooh oooh...
Hawataki niwe nawe
Hawapendi niwe nawe
Hawataki niwe nawe nawe nawe...
Hawapendi niwe nawe
Hawataki niwe nawe
Hawapendi niwe nawe nawe nawe...
Kwanza nakula kiapo uniamini
Uko peke yako kwangu moyoni
Nalinda penzi lako nalidhamini
Sasa nunu wanuna nini?
Usiwasikize hao wapuuzi
Wanakata matawi na mizizi
Nia yao waharibu penzi
Aaah penzi, ah aaah penzi
Hawataki niwe nawe
Hawapendi niwe nawe
Hawataki niwe nawe
Nawe nawe, nawe nawe, nawe
Hawapendi niwe nawe
Hawataki niwe nawe
Hawapendi niwe na
Nawe na nawe na, nawe



Авторы: Karim Zuberi Rashid


K2ga - Hawataki
Альбом Hawataki
дата релиза
13-02-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.