Kassim Mganga - Awena текст песни

Текст песни Awena - Kassim Mganga



Niliapa ukiondoka mpenzi,
Nitaondoka nawe,
Sikuahidi kukufuta Machozi,
Bali Nitalia Nawe,
Inamana Hata Ukiondoka Mpenzi Kunitazama,
Hutaki Awena
Basi Kama Ninakosa kwako nililofanya,
Nieleze Awena
Chozi langu la thamani
Unaliacha Liangukee eeh
Tuliopanga Zamani Inamana Si Chochote,
Utamu wa mapenzi Tulienjoy Mi Nawe,
Kipenzi Changu Awena
Utamu wa mapenzi Tulienjoy Mi Nawe
Rudisha Moyo Awena
Iweje Penzi langu kwako unalikatisha (Iweje eeh)
Iweje Penzi langu kwako ukalikatisha Inamana tunda langu basi Utamu umekwisha babay
Labda ungesema mapema kuwa Penzi langu huliitaji Awena,
Kuliko kuondoka wakati Moyo wangu bado unakuitaji Awena,
Utamu wa mapenzi nilienjoy Mi Nawe Kipenzi Changu Awena
Utamu wa mapenzi nilienjoy Mi Nawe Rudisha Moyo Awenaah



Авторы: Kassim Mganga


Kassim Mganga - Haiwezekani
Альбом Haiwezekani
дата релиза
03-06-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.