Khaligraph Jones feat. Boutross, Brit The Ruler, DonnJ, KOB, Kattapila, Span, Ssaru & Steph Kapella - Luku (feat. Kattapila, DonnJ, Steph Kapella, Brit The Ruler, Ssaru, Boutross, Span & KOB) текст песни

Текст песни Luku (feat. Kattapila, DonnJ, Steph Kapella, Brit The Ruler, Ssaru, Boutross, Span & KOB) - Khaligraph Jones , Steph Kapella , Boutross , Ssaru



Luku, eey, ah, yeah
Luku ni moto, luku ni safi
Nimetoka soko, nikashika mambati
So piga maphoto, piga manjafi
Cheki mangoto, luku ni sa sa sa
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni sa sa sa
Luku ni safi, na luku siwachi
Umati inauliza mahali natoa hizi luku ni wapi
Saa zingine ni Turkey ju za duka sitaki
Saa zingine wathii ama Kariakor bora luku ni safi
Primo ilikuwa ni Toughees, tukiboni manati
Civo kapiga hands on na ma Sahara nikudunda maparty
Sai nikipiga marashi lazima ikuwe Warachi
Na mi sitambui mambono onyesha Fugazi kidole cha kati(Ka! Ka! Ka!)
Luku ni safi nachoma ka pasi
Hii swaga ni classic inakuwanga true
Wao husema am lucky ju vile niko kazi
My friend hii usafi ni hali ya juu
Shati Versace, jinare na mbati
Jamisha kamati washow in mafool
Mangeus hawataki but vile nawakata
Ni ka movie ya ngwati you know how we do
Luku ni moto(luku ni moto)
Luku ni safi(ni safi)
Nimetoka soko, nikashika mambati
So piga maphoto(maphoto),
Piga manjafi(manjafi)
Cheki mangoto, luku ni sa sa sa(luku, luku)
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni sa sa sa
Vile luku ni moto si ni wasafi
Simaanishi ya Simba
Mi hukuja na leather imetoka Congo
Wananiita Mokili mobimba
Hii luku inafanya madem wa moshatha na Nairo wanataka mimba
Nazidi kuchimba
Wakitaka hio miti nakuja na Timber
Uh! Ju luku ni safi nimechafua
Baki ukidakua
Ngware niko Toi Market nikichambua swag za balaa
Decorazer na lami, sikupi salamu, yaani fresh kama gum
Fashion killer ni mimi they wanna become
Sichomi picha nikitoa album
Cheki hawa wanatry kudunga ka mimi
But mi ni wa kwanza adam
Siwezi kuwa wrong ka chini ni Nike
Labda nikiwa na Wakadinali
Manoti kwa long, shingo ni icy
Yeah we taking it internationally
To to to, Somali caliber ni kali
Itabidi wapunguze hii pupa kama Fally
Pia wameseti mali
Ju mi hurollingi na madem wa geti kali
Luku ni moto
Drip inatesa ka mama wa kambo
Sijashinda Lotto(Buda sichezi)
Nataka shori ka Talia Oyando
Luku imeketi(luku imeketi)
My city they call me Rambo
Buda sichezi vile mi hudunga ni kama sindano
Khali told me we gotta go get it
I told him my nigga you know how we do
Hii ni ya marapper wao hudunga
Mandula za tao na fujo na wanajidu
Mbogi ya drip haijafika bei na wanakazana(wanang'ang'ana)
Bado ni sawa acha nichome nirudi kuchana
Ka ni kutema buda mi huwanga ni master
Mi huwanga bombo hata kushinda rasta
Mi ni disaster
Vile natafuta tafuta cash ni ka niko caster, actor
Buda naseti kimoja coz I am the man
And I already told you
I am a soldier bitch boy
To get to my level you gotta be bolder
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni sa sa sa
Luku ni moto, luku ni safi
Piga maphoto kipaparazzi nimepiga pasi
Luku ni jazzy, sura ya kazi
Design imepanda mpaka majuu natolewa na ngazi
Luku ya wera
Cheki bado nawabeba ka kamagera
Shore amebeba ki Vera
Amezificha kwa dera
Ametukosea lakini human is to error
Msafi kihela lakini kiluku omera
I'm so fly, so fly
You know I be so high, you know I
I always get more life and more likes yeah
Alhamdullilahi Jah nimefurahi yeah ah
I got the wet wet, I got the drip
Come dip in my sauce, so many flavours
I got them fly verse
You can trust me baby
I keep you wet all night
Have you up all night
Get the swag right
Lower Chanel right
Gucci on the fly, you ain't harder
I'm your favorite drug
Get you super high
Just don't fall in love
Coz I ain't the one yeah
Let's keep it player, I'm loving the vibe
They looking at us
Cause you keeping it real
I can't even lie
You give me vibes, give me feels
Your love is like summer breeze
I can't chill
Luku ni safi nijenge kasling tu
Kwanza nipige kamboto
Na nilifika bei nika import ju huwanga sidungi za local
Huku nje napressure mangoko daily
Wanashinda wamekesha kwa soko
Kwa foot Dior utadhani naball
Na sijasema niko msoto
Ukitaka kuflex unasonga na pace
Ju luku napiga si kama the rest
Nikifika kwa baze wanarespect
Ju vile mi nadunga
Utajua mi ndo guest
We cheki vibes, si illuminati
Venye nadunga nafanya unacatch
Fanya research buda relax
Yangu inakuja na feel na touch
Ligi nacheza ya Messi
Hakuna siku mi narudia jezi
Na kuwacha drip siwezi, why?
Ju mimi ndo mama mlezi
Uking'aria suit kishenzi eey
Jua mimi ndo mkurugenzi
Ajenda ya leo ni Fendi
Na tunapita na walio wengi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni sa sa sa
Walicheki luku ni moto
Luku ni mbrrcha luku ni safi
Luku ilitoka kwa bunda
Luku ni Nike, luku Versace
Niliamka kama Omollo
Niliskia Omollo aliamka kama light skin
Niliamkanga na headache
Ju niliskia mali ni safi
Cheki luku ni moto, luku ni mbrr
Luku, luku ni safi
Walisema ati what nikasema ati what
Wajue luku ni safi
Niko loud naipiga kilelele
Hawa mafan wanapiga kimbelele
Ninapenda mangeus kilelele
Niko juu ki Julius Nyerere
Oh yeah eh
Ati MPESA haijapiga the prrr
Bado hio mboka sitaki
Sai nacheza na EABL
Mi nilisare za Warachi
Cheki hio renos vile iko true
Buda naongeza magadi
Eey luku ni, luku ni
Saa zingine mi hupiga vitenge
Kufiririnda na madenge
Saa zingine mi hudunga mitumba
Na bado nateka mabaibe
Mi hata si Mbosso but luku Wasafi
Na ka ni mbonoko
Aii hata ndururu hupati
Usikuje kwa soko pia ka umesota
Hatuna masaa za kupima kagua
Hapa ni mboka napiga viproper
Hakuna kukopa so bidhaa nunua
Tupige mayelele wengine wololo
Ju ka ni luku tushaiua
Kama unakuwanga umepiga kifollow
Si ucheki maphoto huwanga kishua
Napiganga drip(luku luku)
Matchisha na whip(Vroom Vroom)
Na kama hio luku haijatosha
Si nafananisha na kicks
Nikute na Bima Mbagathi
Luku napiga za wathii
Na labda nichokoze wathii
Ju luku napiga ni safi
I wasn't going to kill it again
But part of me thought I had to bring it back
Cause some of you don't understand Swahili
So pay attention before you react
I know you wondering what we be talking about
When we say "luku ni safi"
Luku is drip, safi is clean, there you go
Now is you happy
Feeling like a Mac, ooh baby
And the way I swag is too crazy
Feeling all my tattoos must drip drip
And a nigga never rap Fugazi
Chilling on my lap two ladies
People really digging how I move too lately
Cause I walk nice and talk nice
Why you think I am doing this for
Fuck you pay me
Wanna give a shoutout to my homeboy Kat
Don Boutross and my Homeboy Steph
And I can never forget my homegirl Ssaru
Britt how you do, y'all know we the best
And I'm too fly must stay lowkey
And when I pull up they gon see me
With the ice on my neck
Dem no other nigga pull up
Than Omollo Papa Jones I'm a KOB
Luku ni moto, luku ni safi
Nimetoka soko, nikashika mambati
So piga maphoto, piga manjafi
Cheki mangoto, luku ni sa sa sa
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni sa sa sa



Авторы: Brian Robert Ouko Omollo


Khaligraph Jones feat. Boutross, Brit The Ruler, DonnJ, KOB, Kattapila, Span, Ssaru & Steph Kapella - Luku (feat. Kattapila, DonnJ, Steph Kapella, Brit The Ruler, Ssaru, Boutross, Span & KOB) - Single



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.